Takwimu za Britain sainsbury bank, zinasema kuwa wazazi wenye watoto wa kike wanatumia zaidi ya dola 400 toka kuzaliwa mbaka umri wa miaka mitano tofauti na wazazi wenye watoto wa kiume.
Sababu kubwa ni mavazi. Mavazi ya kike ni gharama zaidi ukilinganisha na yakiume mfano gauni, viatu, kofia, bagi nk.