Kulea mimba si kazi...

Kulea mimba si kazi...

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,687
562394_417450111615838_100000525597189_1506975_1999746828_n1.jpg

...niko busy, sina mtu wa kunisaidia!
 
Huyu dogo huenda anapenda sana kubebwa mgongoni, cheki alivyotulia
 
Hah!! Kametulia masikini.
Pengine mlizi anataka ashinde mgongoni,mama naye ana shughuli zake.
Wanaume wajifunze kupunguzia majukumu wake zao hasa kipindi cha ulezi.
 
Mbona dogoo namfahamu, mamake kicheche kweli, wamechepukia hapo kichakani tu atarudi baada ya dk 10 hivi.
 
Du! huyu mama ni qatili hasa! Hivyo wadudu amesema nao?
 
Back
Top Bottom