Kule Kongo tuliua/kujeruhi waasi wangapi wa ADF?

Conq'ueror

Senior Member
Joined
May 13, 2015
Posts
171
Reaction score
131
Wanajamvi,
Nina mapenzi makubwa sana na jeshi la nchi yangu Tanzania. Mara nyingine natamani ningekuwa mmoja wao nikahusika kwenye oparesheni tamu kama za Kongo. Pamoja na hayo; kuna jambo moja najiuliza (hadi kukosa raha) kutokana na tukio la juzi la makamanda wetu wa JWTZ takribani 14 kuuawa na zaidi ya 40 kujeruhiwa kwenye mapigano yanayosemekana kudumu zaidi ya saa 13.
Nimejitahidi kutafuta takwimu za ADF waliojeruhiwa ama kuuawa na jeshi letu shupavu ila sijabahatika kuziona. Ninajiuliza:-

1. Hivi inawezekana tupigane nao masaa 13 tusibahatishe hata mmoja?
2. Kama tuliwabahatisha kadhaa ni wangapi?
3. Kama hatukumpata hata mmoja, hii ina maana gani?

Sina maneno zaidi ya hapa; ila kama kuna mwenye takwimu hizi anisaidie ili angalau mimi komandoo niliyebahatika kubaki nao moyoni bila utekelezaji niweze kulala usingizi. Ninaamini kwamba pamoja na hasara tuliyoipata lazima tunapaswa kuwa tulipata 'faida'.

Conq'ueror
Komandoo wa kujitegemea.
 
mh....
uzi huu sidhani kama utapata wachangiaji wengi maana umekaa kimtegomtego.
Mi nimewahi siti tu.
 
si tuliambiwa waliuawa waasi zadi ya 70. au wewe ulikuwa mbali na news. ila tu miili ya waasi waliouawa hatukuweza kuiona.
 
Wanajamvi,
Nina mapenzi makubwa sana na jeshi la nchi yangu Tanzania. Mara nyingine natamani ningekuwa mmoja wao nikahusika kwenye oparesheni tamu kama za Kongo. Pamoja na hayo; kuna jambo moja najiuliza (hadi kukosa raha) kutokana na tukio la juzi la makamanda wetu wa JWTZ takribani 14 kuuawa na zaidi ya 40 kujeruhiwa kwenye mapigano yanayosemekana kudumu zaidi ya saa 13.
Nimejitahidi kutafuta takwimu za ADF waliojeruhiwa ama kuuawa na jeshi letu shupavu ila sijabahatika kuziona. Ninajiuliza:-

1. Hivi inawezekana tupigane nao masaa 13 tusibahatishe hata mmoja?
2. Kama tuliwabahatisha kadhaa ni wangapi?
3. Kama hatukumpata hata mmoja, hii ina maana gani?

Sina maneno zaidi ya hapa; ila kama kuna mwenye takwimu hizi anisaidie ili angalau mimi komandoo niliyebahatika kubaki nao moyoni bila utekelezaji niweze kulala usingizi. Ninaamini kwamba pamoja na hasara tuliyoipata lazima tunapaswa kuwa tulipata 'faida'.

Conq'ueror
Komandoo wa kujitegemea.
jeshi la kulinda amani huwa lina sheria na mafunzo yake.ila kama yatatokea mashumbulizi jeshi la kulinda amani huwa halitakiwi kusema limepambana na wala kuhua ili kulinda sheria na amani hata kuzuia machafuko.ndo maana inakuwa siri yao.wamekwenda kwa kulinda amani si vita
 
Mkubwa alisema 'mapambano' yalidumu saa 13 (usiku kucha)
 
maiti 70 zilibebwa ili kuficha identities za washambulizi, kama wasingeua wangeisha kambi yote.
 
Huenda hawakuua hata mmoja,
Kwa mujibu wa maelezo walivamiwa(ambush)
Hivyo huenda walivamiwa wakiwa Au wana swali au kucheza karata Au wamelala, majeruhi ndio wanajua mazingira waliyoku twa.
Huenda waliuwawa wakiwa hata napensi,
Hivyo hata silaha hawakuwanazo mkononi.
 
Acha bwana, wanasema walipambana saa 13. Muda wote huo hawakuchukua siraha? Tuseme zinatunzwa mbali sana au????
Hoja ya kuvaa pensi siyo tatizo (Unanikumbusha maneuver ya komando kipensi aka Deadly Pray). Wakiwa na vyuma lolote linawezekana bwana hata kama wangekuwa kwenye "suti kuu".
 
Wanajamvi,
Nina mapenzi makubwa sana na jeshi la nchi yangu Tanzania. Mara nyingine natamani ningekuwa mmoja wao nikahusika kwenye oparesheni tamu kama za Kongo. Pamoja na hayo; kuna jambo moja najiuliza (hadi kukosa raha) kutokana na tukio la juzi la makamanda wetu wa JWTZ takribani 14 kuuawa na zaidi ya 40 kujeruhiwa kwenye mapigano yanayosemekana kudumu zaidi ya saa 13.
Nimejitahidi kutafuta takwimu za ADF waliojeruhiwa ama kuuawa na jeshi letu shupavu ila sijabahatika kuziona. Ninajiuliza:-

1. Hivi inawezekana tupigane nao masaa 13 tusibahatishe hata mmoja?
2. Kama tuliwabahatisha kadhaa ni wangapi?
3. Kama hatukumpata hata mmoja, hii ina maana gani?

Sina maneno zaidi ya hapa; ila kama kuna mwenye takwimu hizi anisaidie ili angalau mimi komandoo niliyebahatika kubaki nao moyoni bila utekelezaji niweze kulala usingizi. Ninaamini kwamba pamoja na hasara tuliyoipata lazima tunapaswa kuwa tulipata 'faida'.

Conq'ueror
Komandoo wa kujitegemea.
Problem ni Intel!
 
Back
Top Bottom