Kule AFCON kuna timu nyingine ina Bango la Rais wao uwanjani zaidi ya Tanzania?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,920
Nimeona Bango la mama wa wetu mpendwa kule AFCON akisapoti mpira, hii inaonyesha Mama anapenda mpira sana, MAma tumuunge mkono kwenye swala la mpira.

Binafisi nafarijika sana, kwenye kuchangia timu ya Taifa Mama alitoa million 500, sidhani kama kuna Raisi mwingine kafanya hivyo.
 
Si Bora hata Rais Wetu Huwa anawapa Moyo ila nyie mnawaponda Stars.
 
Back
Top Bottom