Lipa Kwanza
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 229
- 28
hilo ni jina tu la urithi toka kwa babu yangu....toa ushuhudaLipa Kwanza. Halafu uendelee na tangazo lako la utabiri.
aisee we mkali umenipa kitu hapo...mwanamke huwa ndio wa mwisho kupanda kitandani na pengine wakwanza kuamka
Je, kitanda kikiwa katikati ya chumba?
Je,wajua kwamba siku zote wanapolala mume na mke,mwanaume siku zote hulala upande wa ukutani.? Hebu kila momoja atoe ushuhuda wake hapa na aeleze ni kwanini...?
Je,wajua kwamba siku zote wanapolala mume na mke,mwanaume siku zote hulala upande wa ukutani.? Hebu kila momoja atoe ushuhuda wake hapa na aeleze ni kwanini...?
Je, kitanda kikiwa katikati ya chumba?