Kulala na Domo Wazi

Duh...mi sijijui nikilala hhuwa nakuaje...hahahaaaaa
 
Reactions: BAK
Sasa Mbuzi Mzee naona heshima imeshuka. Sali sala yako ya Mwisho nakutafuta nikung'oe kucha kisha nikupeleke msitu wa Pande. Waage wana JF.
 
Huyo wa kwanza akiwa na hela, wadada wa humu waliowengi, masista duu wa town kama Wolper, Wema, Aunt Ezekiel watamshobokea na kumgombania.
 
Sasa Mbuzi Mzee naona heshima imeshuka. Sali sala yako ya Mwisho nakutafuta nikung'oe kucha kisha nikupeleke msitu wa Pande. Waage wana JF.

Hata kama amekugusa, hapo #1 suala liko Nahakamani,huruhusiwi kujadili!!
 
Sasa Mbuzi Mzee naona heshima imeshuka. Sali sala yako ya Mwisho nakutafuta nikung'oe kucha kisha nikupeleke msitu wa Pande. Waage wana JF.
naona Mbuzimzee amekukosea heshima kabisa siku ya leo, Gwangambo kauza sura yako kweeeeeuuupeeeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…