Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,269
Salute all MMU,
Hivi kulala msibani ni lazima? Nauliza hivi maana kunavitu nimeviona juzi msibani nikaona niwajuze tuu. Tumelala pale msibani mama mmoja Usiku akaanza kuota anadinyanya na mumewe khaa! Watu wote msibani tuliamka maana huyo mama alikuwa anakata mauno balaa na kutoa miguno ya mapenz mmh watu wakaanza kucheka kama baada ya dakika tano akahema kwanguvu kisha akarudi usingizini. Hakuna aliyemwamsha hadi asubuhi. Sasa huku sikujitia aibu.
Bora kukoroma kuliko vituko hivyo. Nihayotu.
kumbe wote mademu.
Hivi na wewe unaamini kuna kitu kama jini mahaba??...
Lakini pia kuota unananihiii mbona inatokea sana na nisehemu ya biolojia?...
Naamini hajakuambukiza tabia yake mbaya. Ushawaona makungwi wa mji gfsonwin na Madame B? Kama bado hujawaona basi bado hujaingia mjini, bado uko mto Ruvu pale. Na huyu Mtambuzi kishakutambulisha kwa amu, Paloma na ladyfurahia? Kama kakubania watafute vijana Kipaji Halisi na Mentor wakupe mwongozo.
Hilo ni pepo la Uzinzi ambalo lina uwezo wa kuzini na binadamu wa ukweli hadi anafika kilele!
Ni watu wengi tu wanaingia mapenzi na mapepo, aka majini na wanamalizana usiku, na mwanamke mwenye hali ya hivyo huwa hana hamu na mumewe kabisaaa, hata akiombwa naniliu anakuwa mkali kama mbogo!
Njoo ufanyiwe maombi!
Nafikiri aibu itakuja pale kama kuna mtu atamstua kuwa..bi mkubwa umetoa manjonjo hapa si mchezo.....lakini kama walimnyamazia kimya anaweza asijue hata kilichotokea.
Ila hizi ndoto nyingine kweli zinafedhehesha.....khaa...
hahahahahaha...kwa mantiki hiyo aisee kumbe bado niko mto Ruvu....Ntajitahidi niondoke hapa mto Ruvu nilipo nije hapo dar kwenyewe....manake sio siri sijawaona watu kibao hususan ulowataja....by the way kwa vile nimekuja kuweka kambi ntawatia tu machoni...nipe muda!!!
nimekubali mkuumkuu si unaona hata avatar yake yaonesha ni mwanadada mrembo....
Naamini hajakuambukiza tabia yake mbaya. Ushawaona makungwi wa mji gfsonwin na Madame B? Kama bado hujawaona basi bado hujaingia mjini, bado uko mto Ruvu pale. Na huyu Mtambuzi kishakutambulisha kwa amu, Paloma na ladyfurahia? Kama kakubania watafute vijana Kipaji Halisi na Mentor wakupe mwongozo.
kweli PakaJimmy huyo ni spritual husband
kipindi ninasoma boarding kuna mwenzetu alitembea na padre sasa usiku alikuwa anaota anafanya mapenzi mbaya zaidi akiamka anajikuta kachafuliwa kila kona
kwa kweli situation yake ilikuwa worse sana maana tulimuogopa kwa kweli plus wengi tulikuwa mabikra enzi hizo
ila alienda kuungamishwa akaombewa na ile hali ikaisha ..ngoja nimcheki anaendeleaje siku hizi