Salute all MMU,
Hivi kulala msibani ni lazima? Nauliza hivi maana kunavitu nimeviona juzi msibani nikaona niwajuze tuu. Tumelala pale msibani mama mmoja Usiku akaanza kuota anadinyanya na mumewe khaa! Watu wote msibani tuliamka maana huyo mama alikuwa anakata mauno balaa na kutoa miguno ya mapenz mmh watu wakaanza kucheka kama baada ya dakika tano akahema kwanguvu kisha akarudi usingizini. Hakuna aliyemwamsha hadi asubuhi. Sasa huku sikujitia aibu.
Bora kukoroma kuliko vituko hivyo. Nihayotu.

watu walicheki movie bureeedah! nimecheka sana manake mweeeh!
Salute all MMU,
Hivi kulala msibani ni lazima? Nauliza hivi maana kunavitu nimeviona juzi msibani nikaona niwajuze tuu. Tumelala pale msibani mama mmoja Usiku akaanza kuota anadinyanya na mumewe khaa! Watu wote msibani tuliamka maana huyo mama alikuwa anakata mauno balaa na kutoa miguno ya mapenz mmh watu wakaanza kucheka kama baada ya dakika tano akahema kwanguvu kisha akarudi usingizini. Hakuna aliyemwamsha hadi asubuhi. Sasa huku sikujitia aibu.
Bora kukoroma kuliko vituko hivyo. Nihayotu.
kweli PakaJimmy huyo ni spritual husband
kipindi ninasoma boarding kuna mwenzetu alitembea na padre sasa usiku alikuwa anaota anafanya mapenzi mbaya zaidi akiamka anajikuta kachafuliwa kila kona
kwa kweli situation yake ilikuwa worse sana maana tulimuogopa kwa kweli plus wengi tulikuwa mabikra enzi hizo
ila alienda kuungamishwa akaombewa na ile hali ikaisha ..ngoja nimcheki anaendeleaje siku hizi
na fedheha juuuHivi mtu afanyaye kisanga chochote usingizini huwa anapaswa kupata aibu....??
shetani mbaya sana kwa kweliOr rather a DEMON
dah! nimecheka sana manake mweeeh!
na fedheha juuu
hivo hivo this word is not fair meeenFedheha i wapi kwa mtu asiyetambua kinachoendelea in a real world?
Step out and at least for one second understand human biology
Kama nakuona unavocheka.....ar u okay my dada???
kwenye misiba ni sehemu ya kukesha usiku mzima na siyo kulala
Niko poa muzee. Nimepata habari yako kuwa uko mujini lakini hutaki kuonana na kaka mukubwa. Hii mutu inaitwa KakaKiiza umefanikiwa kuonana nayo? Iangalie sana bazazi hiyo haichelewi kukuingiza choo cha kike...
Hivi mtu afanyaye kisanga chochote usingizini (unconsciously) , twaweza kusema kapatwa na aibu....??