Kulala chali huku kunamainisha nini ?

teh teh teh ...hilo ndilo tatizo la kuandika unachofikiria sio unachokiona...kaaazi kweli kweli :tongue:
 
Apa hawa vijana walio lala chini wanasimikwa kuwa mapadre.kulala huku chini kuna maanisha ya kuwa wanaifia Dunia na kumfata Yesu Kristo.So wanaiacha dunia na matamanio yake yote for Jesus
gay-priests-273x300.jpg

mhh...
 

Attachments

  • gay-priests-273x300.jpg
    gay-priests-273x300.jpg
    13.1 KB · Views: 95
Wamtumainio bwana ni kama mlima sayuni hawatatikisikaaa milelee daima


mmh we bibie huku pia unafika kweli na hasa kwenye picha kama hizo... c utaota usiku ww... maana zile unazoposti hazifanani hata kwa bahati mbaya na hizi... mi nahisi ulikosea mlango na hv huku jei efu wamepaka rangi mpya kwenye milango ndio kabisaaaaaa zinachanganya
 
Hapo zinapigwa sala,maombi na Litania ya Watakatifu wote, kwa ufupi kama hustaili huinuki hapo.
 
Hapa naona hata kujibu wameshindwa! umefunga kazi!


Wavunja viapo/sheria/imani wapo ndugu kila mahali na katika dini yoyote, kitika Ukristo tunasema sio wote wanaosema Bwana Bwana wataurithi uzima wa milele. Hivyo hao wachache hawamaanishi Mungu atakosa watumishi wanaoenenda kwa njia ya kweli mbele ya Mungu wao.
 
Back
Top Bottom