Kulala bungeni kwaanza, wiki moja tu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulala bungeni kwaanza, wiki moja tu...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jay One, Nov 16, 2010.

 1. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,077
  Likes Received: 4,661
  Trophy Points: 280
  As usual tukisema kuna list kibao ya kulala bungeni some don't believe.

  Juzi tu bunge limeanza huyu kaanza na kukoroma, one day mtu atatia aibu kwa kuota, au ku diffuse/pollute hewa bungeni, wait, mbunge must be active especially ndani ya jengo, then ukitoka kalale, take a look

  [​IMG]


  At least huyu mzee hapa chini kaegemea ukuta asianguke anawakumbuka waliomchagua kwa SMS, ila alivyo disintegrate...mmmhhh, hiyo simu ilivyoshikwa aaalaaahh Mzee wa kiraracha vp? namombea msamaha kwa kuitwa CCM, bcoz of his health
   
 2. D

  Darwin JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  shame!!!!
   
 3. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hawa si ndo wale viti maalumu? Wao wako kule kuchukua perdiem tu. Mbaya kabisa hii.
   
 4. M

  Msharika JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mwingine ananyonya kidole, LOL
   
 5. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Alamba...alamba...laah!!! wasemeheni jamani hapo wenzenu wako mbali sana wanatamani kama spika afunge wakatumikie miadi iliyowapeleka Dodoma. Hasira 360 degrees
   
 6. M

  MSAUZI JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 228
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  No anayenyonya kidole sio mwanaume au nimeona vibaya
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahahahaha,may be its a meditation hatuwezi jua
   
 8. J

  Jof Member

  #8
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Martial status ya mh. Spika wana jamvi?
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ndio mdudu gani huyo?
   
 10. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Halafu ni vyema wakaambiwa kuwa camera za TV ziko live saa zote.

  Leo alikuwepo moja mzuri mzuri hivi anachimbua yale 'madini' yapatikanayo ndani ya pua na kuyafinyanga finyanga kwa vidole vyake!! halafu wakitoka bila shaka ataenda kushikana mikono na wenzie...AARRGHH!:nono:
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kulala mchana kunategemea na historia....ulikuwa unafanya nini usiku wa kuamkia leo?

  Hamuelewi tu?

  Staki ban mie!!
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ubunge bongo ni dili aisee, lakini tufanyeje? tumejikuta katikati ya kuiga mifumo ya siasa na kutafuta maendeleo, which not necessarily coincides, na historia yetu ni kielelezo tosha.
   
 13. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  alikesha club 84 huyu!
   
 14. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,077
  Likes Received: 4,661
  Trophy Points: 280
  i am with you, that is possible reason, good perception
   
 15. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  haaahaaaa unafikiri kukesha chako ni chako unakula kuku na taska za watu mchezo...madhara yake ndo hayo sasa usingizi vibaya sana mjengoni
   
 16. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Back to human senses! Hilo la Mrema kidogo umepotoka. Ana matatizo ya ki-afya na huwa tunatoa pole badala ya kushangilia.
   
 17. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kazi ndiyo imeanza hivyo. Ndiyo maana umaskini nchi hii umepiga kambi.
   
 18. A

  A Lady Senior Member

  #18
  Nov 16, 2010
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We umenifanya mwenzio nicheke mpaka machozi yananitoka kha!
   
 19. abracadabra

  abracadabra Member

  #19
  Nov 16, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  This is a shame! :A S angry: :A S angry: :A S angry: :A S angry: :A S angry:
   
 20. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #20
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  12m and you cant even stay awake, :doh::A S angry:, its a shame tumia pesa zako kunywa kahawa, au red bull to keep yourself awake, au lala mapema, yaani, aaarrrghhh
   
Loading...