Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

weka picha tuthibitishe.
vijana wangemstukia/kama walimstukia walijigongea chabo.......nakumbuka nikiwa mdogo kuna ...yangu alikua anapenda kuoga huku bafu likiwa wazi, nikawa najipimia tu kupitia vipenyo vya dirisha usawa wa bafu.............
 
umeolewa au mmeona mnalala na nguo za nini?huamsha hisia mara kwa mara na kupelekea upendo zaidi
 
Maisha hayo ya kukurupushwa hayako applied kwa maisha ya kila mtu babu, wengine tunakaa kwenye nyumba zetu wenyewe na kuna amani. Pole sana, I hope unalala na viatu pia kwa kuogopa kukurupushwa
Kwenye nyumba yako ndiyo hakuwezi kutokea moto wala kuingiliwa na majambazi? Hivi ikipigwa fatuma kwenye geti la nyumba yako unaweza kukumbuka hata kuvaa nguo? Na usishangae linapotua tu kwenye mlango tayari wao wameshazama ndani na wanakukuta ndiyo kwanza upo kama ulivyozaliwa. Itakuwaje? Pamoja na uhuru wa kuwa nyumbani kwako, kwa security ya bongo hii angalau bukta mhimu.
 
Kitendo tu cha kukaa u.chi hua nahisi kinaniathiri kisaikolojia , hua nafeel poa sana kama nitakua nimevaa bukta na sing land nyepesi wakati mtoto akiwa anacheza cheza na Body yangu huku nikiwa naendelea kumshushia story moto moto zenye mchanganyiiko na uwongo lain na kumfanya anizawadie kile kicheko adimu ....lol.
 
mimi nikiingia ndani,navua pichu yangu.sivai hicho kitu kabisa,sababu kubwa nataka k ipate upepo.naona raha kabisa

Msema kweli mpenzi wa Mungu, ndani jiachie tu, hakuna shida, yanini uibanie kupata hewa bwana
 

You have made my day.
 
Hii haiwezi kutokea kwangu,ukifanikiwa kuruka geti utakumbana na Germany shepherd wanakusubiri muda huo wote nitakuwa tayari nimeshavaa pensi hata ukitaka kuvaa tai hakuna taabu.


lakini hebu fikiria mwanaume uko pweee halafu mwizi anakuibukia, undhani utapata muda wa kutafuata pensi?
 
Hiyo ni moja ya therpy !! hata kichanga kina zaliwa kikiwa ushi.... u-chi Ofcoz vitabu vinatuambia siku ya kuhesabiwa tutakuwa wote ushi (u-chi) lakini kila mmoja atalia na vyake....
 
Hii haiwezi kutokea kwangu,ukifanikiwa kuruka geti utakumbana na Germany shepherd wanakusubiri muda huo wote nitakuwa tayari nimeshavaa pensi hata ukitaka kuvaa tai hakuna taabu.
Ngongo nidadavulie hii German Shepard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…