happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
- Thread starter
- #41
Unapambana sana huku mijini ndugu lakini mgambo wakikukuta wanakukamata na kudai wewe ni kibaka au etiunachafua mji kwa kuuza soksi mtumba! Sasa hali ikiwa hivo utatokaje happiness win? Si moto tu huo unawakia mtu? Shamba niliondoka kitambo sana baada ya kujaribu kilimo na ufugaji vikanishinda. Kama sio mgambo, umachinga ni nafuu.
Huna sababu ya kupambana katika sehemu unayoona haiwezekani, sio lazima kwenye umachinga wa sehemu moja, unaweza kuufanyia sehemu nyinginge na njia nyingine. Mapambano ni pamoja na kusugua kichwa kufikilia cha kufanya baada ya kimoja kuonekana kinashindikana. Jali muda usiupoteze sehemu isiyokuwa na manufaa.