happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
- Thread starter
- #21
Watanzania wengi tunatoka utotoni direct to uzeeni....!
Pambana. Kataa hiyo hali kwa nguvu zako zote na akili zako zoteeeeee!
Watanzania wengi tunatoka utotoni direct to uzeeni....!
Uzee upo njiani tena unakuja kwa kasi. Linalowezekana kulifanya ujanani lifanye kwa nguvu zote.
Sana uoni Rihanna anavyonitesa mtima wangu.Unapenda flat eeee
mimi nayofanya sahivi nitafanya mpaka nikiwa na miaka 85
Sana uoni Rihanna anavyonitesa mtima wangu.
Utafanya kazi za nguvu hadi 85? si kweli.
Kule Brazuku hukumtafuta? nilidhani umeshajishindia? Changamka bado meno ina nguvu!
Una maana wote wawili ni warembo?
Unapambana sana huku mijini ndugu lakini mgambo wakikukuta wanakukamata na kudai wewe ni kibaka au etiunachafua mji kwa kuuza soksi mtumba! Sasa hali ikiwa hivo utatokaje happiness win? Si moto tu huo unawakia mtu? Shamba niliondoka kitambo sana baada ya kujaribu kilimo na ufugaji vikanishinda. Kama sio mgambo, umachinga ni nafuu.Loooh.... ni vema kuikataa hali hiyo. Kwa nini wewe tu usoteeeee toka unazaliwa hadi Jehanam?? lazima upambane
Kwa nchi yeu ukila ujana alafu ukafikia level ya kujulikana, usipokuwa vizuri uzeeni yaani by 35 tu tayari frustration zinaanza kuonekana kwa kuwa wenzako sasa pamoja na kwamba umri unawatupa ndio wana stablize na kula maisha kwa bluetooth wakati wewe ndo unanunua set ya makochiDah!!!..sisi wengine msoto unaanzia ujanani mpaka uzeeni..alafu tunamalizia na akhera........
Dah!!!..sisi wengine msoto unaanzia ujanani mpaka uzeeni..alafu tunamalizia na akhera........