hahaaaaaa lol!!! hivi wewe mbona sijaona maoni yako
baada ya main coz wewe unatumiaga side plate au unalundika mlo unaofuata mule mule tu!!
uyo twin wako naona bado age analishwa kwneye chupa hajui main course wala side plate B!
uyo twin wako naona bado age analishwa kwneye chupa hajui main course wala side plate B!
hahaaa lakini alipaswa kujua kabla yangu ujue B!!!
"MWANANGU UKIMALIZA KUPIKA TU!MWIKO UOSHE"MAANA USIPOOSHA UTAKUWA MCHAFU UTASHINDWA KUPIKIA TENA!UKIMALIZA SAFISHA NA BAKULI ILI UPATE KUTENGA TENA CHAKULA CHOMBO KIKIWA SAFI,alafu kuna chakula cha kula ndani ya chupa akikisha inakua safi hiyo chupa maana usipoangalia unaweza pata fangas za mdomo ,tema usitafune chupa itatoboka na maziwa kumwagika!Kaizer watakani tena?[/QUOTE]
B wa ukweli hapo chali huna la kusema.....unalo?
baas. bora yeshe!"MWANANGU UKIMALIZA KUPIKA TU!MWIKO UOSHE"MAANA USIPOOSHA UTAKUWA MCHAFU UTASHINDWA KUPIKIA TENA!UKIMALIZA SAFISHA NA BAKULI ILI UPATE KUTENGA TENA CHAKULA CHOMBO KIKIWA SAFI,alafu kuna chakula cha kula ndani ya chupa akikisha inakua safi hiyo chupa maana usipoangalia unaweza pata fangas za mdomo ,tema usitafune chupa itatoboka na maziwa kumwagika!Kaizer watakani tena?
Twin mpe ujumbe huu kaizer mwambie aje ntamuonesha kwa vitendo maneno hata kwenye khanga yamo![/QUOTE]
hahaaa jamani huko zenziberi wananiharibia twin wangu lol!!
B wa ukweli hapo chali huna la kusema.....unalo?
Twin mpe ujumbe huu kaizer mwambie aje ntamuonesha kwa vitendo maneno hata kwenye khanga yamo![/QUOTE]
hahaaa jamani huko zenziberi wananiharibia twin wangu lol!!
TheOne si ndo kama hivi ulivyopost hapa ila unaingia kwenye jukwaa la mapenzi au popote pale unataka ..then juu kabisa kuna sehemu pale ya New post ikiingia itakupa mwongozo wa kuendeleaJaman naomba mnisaidie jinsi ya kupost threads nami.nina topic kibao inabidi tusaidiane,mimi ni junior member
Kama mnakula ni lazima kila mkimaliza mlo mmoja muoshe vyombo au mnaendelea kuongeza kupakua na kula, mkiwa mmeshamaliza kabisa ndiyo mnaosha vyombo? Inakuwaje kama mmoja wenu kila baada ya kula anakimbia jikoni kwenda kuosha vyombo wakati mwingine bado ana njaa?
Apenda shombo huyu mzee...
Hivi laoshwa bakuli peke yake ama na kijiko chaoshwa?
Mwoshaji nani yakhe...vyote aosha m1?vyote vyaoshwa yakhe!!!
Mwoshaji nani yakhe...vyote aosha m1?