Mmmmh kweeli? labda wa huko vijijini kwenu maana hapa mjini 1st of all ni usafi na hapo mama ntilie anawasaidizi karibu wa5 na hao wasaidizi ndio mara nyingi ufanya maandalizi saangapi mama wa watu ataweka hayo mambo yako? Mi hata siamini na pia huwa si mpenzi wa mama ntilie nk mi huwa nyama choma ama hivyo vichips sasa navyo sijui vyafanyiwa hivyoo!
Mhhhhhh?????
Wapo wanaofanya usafi tena wanapika chakula kizuri sana tu. Ila naongelea wale wanaoingiza uchafu kwenye chakula kwa makusudi eti kwa kisingizio cha kupata wateja wengi.
msamehe buree amejifunza,ila nafikiri hakuwa na nina mbayaMleta uzi inaonekana umezaliwa masaki, ukasomea upanga, kisha ukaenda nje ya nchi kuchukua digil yako, kazi unafanya bank kuu na unamaisha mazur! Ongela tuache cc tulioZoea maisha hayo.. Mushkru pia Mungu kwa hayo maisha
Annael kama unahasira na mama ntilie alikuibia bwanako mwendee umshambulie moja kwa moja yeye mwenyewe lakini siyo kuwaharibia wanawake wanaopambana na maisha haya magumu, kuwa muungwana.
nini??? njoo huku ushuhudie....wali nyama,maharage,mchicha sahani kubwa 1000!!! 1200 unapata na ndizi......uswazi raha sana
Na tutakula sana...Dunia hii wapi utapata wali wa nazi jumlisha nyama rosti, maharage nazi, chachandu, chainiz vikiwa vya moto vinaipuliwa kwa buku mbili tu.