Kula kwa Lowassa Kura kwa Magufuli

Kula kwa Lowassa Kura kwa Magufuli

Hahaaa.......ccm ndo wenyepesa na tunazila .....kura kwa lowasa.....
 
kumpigia kura Magufuli ni sawa na kumchagua tena Kikwete na Ridhiwani kwa pamoja huku Makufuli akiwa kama waziri mkuu tu kama boya!!
 
Lzm watu wajue kama hiki chama (ccm) hakijafanya ki2 chochote cha maana ktk hii nchi na huu ni wakati wa mapinduzi. Tuwaunge mkono UKAWA ili nchi isonge mbele tuache kutawaliwa na wanaojiona kama WENYE NCHI. Tunahitaji changes na ccm can't give us changes
 
mtoa mada ni mjinga sana. wenye mawazo kama yako wengi walishakufa na hata hawakuwekewa matanga. mpaka leo bado unaipenda ccm, au baba yako amekukuza kwa rushwa za ccm, umelaaniwa wewe na familia yako. pusi we.
 
Back
Top Bottom