To me kula si kipimo cha mapenzi bali kunanogesha penzi,ebu fikiria babako angekuwa hali nyumbani ungejiskiaje?ungemuona sa ngapi akijiramba?akisifia upishi wa mama yako?ungejuaje kama na yy anapenda nyma,pilipili,hapendi chumvi?
Mume kula nyumbani kuna raha sana kwanza anajua ile pesa aloacha ya matumizi kama imetosha au la,pili kile kidogo kilichopo mnaweza kugawana na kwa upendo kikaonekana ni kikubwa sana,
tatu yy ndo mtoto mkubwa nyumbani lazima awe na manners ya kula hme that means inabidi awahi hom,na mwisho wakati nakuwa mama alinifunza kutokula kwa watu so leo ni wajibu wangu kumfunza mume wangu kula nyumbani.