Bebz
Member
- Dec 12, 2011
- 80
- 12
Habari wandugu,
Wacha niende moja kwa moja kwenye mada.
Weekend nilitoka na shemeji yenu kama kawaida na katika maongezi ya hapa na pale akaniambia kuwa wazazi wake watakua mjini karibuni na angependa kama ningeenda kuwasalimia.
Sasa tatizo si kwamba ni vibaya kwenda kuwasalimia wazazi ila naona kama ni mapema mno kufanya hivyo kwani tangu nimemjua huyu kijana yapata miezi kama sita na sijawahi kumtamkia kuwa nampenda au la lakini tumekuwa tukitoka kuongea na kushauriana hapa na pale. Jambo ambalo linanifanya iwe ngumu kwangu kuamua na inachangia kwa upande mwingine ni kwamba tunafanya kazi sehemu moja japo hatuonani mara kwa mara labda accidentally wakati wa mlo wa mchana na pia bado najaribu kumwelewa baadhi ya vitu afanyavyo japo huwa tunalingana kwenye mitazamo mingi na kijana huyu ameenda mbele zaidi na ku-propose ndoa anachosubiri ni jibu langu tu.
Naomba kuuliza,
1. Je ni sahihi mimi kwenda kusalimia wazazi wake?
2. Kudate na mtu wa sehemu moja ya kazi kuna hasara yake kubwa zaidi ya faida, je kuna mtu aliye-experience hiki kitu?(Naomba mtazamo wako)
3. Kwa wanaume:.. Kama uliwahi kupropose kwa msichana unayempenda, je nini ulikua ukitegemea kwenye tendo hilo?
4. Kwa wanawake:.. Ingekuwa ni wewe je ungeenda?