eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Kama unaishi mtaani utagundua sukari imekua adimu sana katika maduka ya jumla kiufupi hsmna ukimuuliza mwenye duka anakwambia magufuli utazuiaje sukari ya nnje wakati ndani kwako sukari hamna? Wasambazaji wa sukari hizo kwenye maduka haya ukiwauliza wanakuambia sukari hamna kabisa viwandani kwetu tunasubiri iagizwe nnje ya nchi
Hua najiuliza nani alimdanganya magufuli kua tuna sukari ya kutosha? Ona sasa anaumbuka mwenyewe
Hua najiuliza nani alimdanganya magufuli kua tuna sukari ya kutosha? Ona sasa anaumbuka mwenyewe