wakatanta
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 2,593
- 3,148
Kumeibuka threads nyingi sana jukwaani zenye lengo la kushusha hadhi, kazi na mafanikio ya rais Magufuli kwa miaka mitano aliyohudumu kama mkuu wa nchi, ukizisoma utagundua wanaoandika ni watu ambao hawana weledi kabisa na ni walewale wa kila siku, wanachofanya ni kubadili heading tu ,maudhui ni yaleyale tu
Ukweli unabaki palepale Magufuli kafanya kazi kubwa sana ,kaenda extra mileage kwenye utumishi wake ,kumshusha inahitaji watu makini sana wa kujenga na kupangua hoja, kulifahamu hili wangekuwa wanafanya utafiti field ndiko kwenye majibu ya propaganda zao mfu, si kujifungia vyumbani na kuanzisha poor threads huku wakiotesha sugu viganja vya mikono yao.
Pia kuna threads nyingi znaanzishwa mfululizo kila uchao kwa lengo la kukuza haiba ya Tundu Lissu ,ukizisoma nyingi hazina logic kabisa ,maudhui yake ni bora liende tu,na karibu zote zikiwa na lengo la kupeana matumaini hewa na zinapopingwa kwa hoja majibu ya watetezi wake huwa ni matusi tu.
Niwahakikishie wale msiompenda Magufuli hamna choices,jamaa anamtaji mkubwa sana wa kura za kishindo toka kwa wananchi walioko vijijini na mijini ,wameshuhudia kazi zake, hawahitaji kudanganywa na propaganda za mitandaoni,tuendelee kujifariji mwisho wa siku tubadili gia angani kwa kusema tumeibiwa kura .
Nimalize kwa kusema ushindi wowote ni mchakato wa muda mrefu wenye mipango mikakati na mbinu madhubuti, yenye matumizi ya raslimali fedha na watu,sio kukurupuka kama wafanyavyo hawa niliowaelezea