Kuku wetu hawa

Lahaulallh hawafai kwa mboga hawa, niliwakuta kwa saudari anawafuga
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmhh Mpwa mie sipo najua unataka useme wanafaaa ku-replace baadhi ya wachezaji wa Timu fulani hivi

Mpwa acha uchokozi tuna majonzi hapa na London!
 
Mmmmmmhh Mpwa mie sipo najua unataka useme wanafaaa ku-replace baadhi ya wachezaji wa Timu fulani hivi

Mkuu unahitaji maombi ili uache ukolofi lol. yaani yaaaani nakosa hata jibu
 
Nimesamehewa dhambi zangu zote na sosoliso baada ya kumuahidi kumnunulia NOAH kilo kadhaaa

Haaa mpwa Elli sasa unanitangazia vibaya na kunifananisha na wale wazee wa mahubiri ambao wanatoza malipo kwa kuombewa..!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha umenikumbusha wimbo wa mista nice kuku kapanda baiskeli/kuku anacheza ball
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…