Kuku wanaofukuza binadamu.

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
KUna mtu yeyote anajua wapi wale kuku dume (Majogoo) wanaofukuza watu na kuwadona wanapatikana ,sina uhakika kama mnawaelewa au wako baadhi kama mnaweza kuwajua,namkumbuka mmoja bonge la jogoo na akitisha ukienda kuokota maembe kama yupo basi hapaokoteki embe ni mkali nikafikiri anavutishwa bangi lakini nilienda pakistani nikawaona na nikaambiwa ni ghali sana.
 
wako pakistan wale

Hata Tanzania wapo ila sehemu gani ndio sielewi ,huyo niliemuona ni pale Tanga ,Duga karibu na shule ya Mwakizaro siku hizi inaitwa Tapa miaka kama 20 iliyopita,niliweka kama ahadi nikiwa kijana nitamtafuta nimfuge. Ila kumtoa Pakistani ,pale Nyerer airport watamgundua na maradhi na kukwambia umuwache ,nguo mpya kama hujaitoa lebo wanakwambia unafanya biashara.
 

mkuu hata bila kumpima wata-conclude ana mafua ya ndege!? dah!? tz raha sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…