Kuku wakubwa wa kienyeji

Kuku wakubwa wa kienyeji

alsam

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
232
Reaction score
347
Habarini wadau

Je kuku wakubwa km jogoo au koounaweza kumpa change zote na kweli ikawa tiba ama kinga kwa Magonjwa.

Maana nina mpango wa kununua makoo mengi ili niwafanye kwa ajili ya kuuza mayai tu tray moja ni 15K. Sasa nimepiga hesabu naona kunua makoo ni rahisi kwa mazingira niliopo unaweza pata vijijini kwa 10K ambapo huyo akipfika ni kutaga na kuokota mayai na isitoshe eneo la free range lipo la kutosha tu.

Nikisema nianze kulea tena maana kuku wa kienyeji mpaka kutaga almost 6 months

Nakaribisha mawazo, mchango ushauri pia naomba kuwasilisha

NB Hela ni ngumu
 
Ningekushauri kitu ila ngoja waje sitaki kujifanya mjuaji sana, kuku tafuta mtu unaemuamini akuuzie usinunue nunue ovyo ovyo tu utalia na km ni makoo basi nunua wenye umri miezi 10,11,12 kwa mfugaji mzuri anawajua na hapo hela lazima ikutoke sio 10k hakuna kuku wa kienyeji mwenye miezi hio unaweza kumnunua kwa 10k andaa hamna hamna 23k hapo umemshawishi sana ndio unauziwa nazungumzia kienyeji pure kienyeji, at last nimebwatuka mnisamehe ndugu zangu
 
Kwa mazingir

Kwa mazingira niliyopo am sure napata kuku c zaidi ya 12K maana nanunua sana wa kula naunua kijijin broo hizo bei za 23K ni za sokon broo
 
Ndio nimekwambia tafuta mfugaji mzuri unajua kuna tofauti kati ya kuku wa kumla leo leo na kuku wa kufanya uzalishaji km uliesema wewe kwa ajili ya mayai, sasa Nikifa MkeWangu Asiolewe aje akusaidie maana mimi naona nimeishia hapo
 
Ningekushauri kitu ila ngoja waje sitaki kujifanya mjuaji sana, kuku tafuta mtu unaemuamini akuuzie usinunue nunue ovyo ovyo tu utalia na km ni makoo basi nunua wenye umri miezi 10,11,12 kwa mfugaji mzuri anawajua na hapo hela lazima ikutoke sio 10k hakuna kuku wa kienyeji mwenye miezi hio unaweza kumnunua kwa 10k andaa hamna hamna 23k hapo umemshawishi sana ndio unauziwa nazungumzia kienyeji pure kienyeji, at last nimebwatuka mnisamehe ndugu zangu
Naongezea hapo kwa mkuu uliposema atafute kuku kwa mfugaji kweli. wengi wetu hatujui kwamba hata kuku wana dumaa na wanapo kosa matunzo mazuri toka mwanzo hata utagaji wao unakuja kuwa wa manati manati, ni vyema akatafuta kuku wenye wastani wa umri ulio mshauri ili iweze kumsaidia kuwaongezea virutubisho aweze kupata manufaa na mradi aliyouanzisha. Kusema ukweli kwenye ufugaji hakuna njia ya mkato ni lazima uwekeze na usimamizi mzuri ili mafanikio uyaone.
 
Habarini wadau

Je kuku wakubwa km jogoo au koounaweza kumpa change zote na kweli ikawa tiba ama kinga kwa Magonjwa.

Maana nina mpango wa kununua makoo mengi ili niwafanye kwa ajili ya kuuza mayai tu tray moja ni 15K. Sasa nimepiga hesabu naona kunua makoo ni rahisi kwa mazingira niliopo unaweza pata vijijini kwa 10K ambapo huyo akipfika ni kutaga na kuokota mayai na isitoshe eneo la free range lipo la kutosha tu.

Nikisema nianze kulea tena maana kuku wa kienyeji mpaka kutaga almost 6 months

Nakaribisha mawazo, mchango ushauri pia naomba kuwasilisha

NB Hela ni ngumu
Unapo anzisha mradi na unapo taka kununua mbegu kumbuka ujitahidi sana kutafuta mbegu iliyo bora ili uweze kupata mafanikio ktk mradi wako, na ufanye na tathmini pia ya matunzo yao yatakuwaje na kuwaepusha na magonjwa ili waweze kutaga vyema na kukuletea faida.
 
Kwa mfano mimi nilibeba kuku matetea na jogoo toka kijijini Moshi mwaka jana nilipo wafikisha huku nimezalisha mateta wengi halafu hao matetea wapya nimewawekea Jogoo la Kuchi ndio nazalisha sasa ili nipate cross ya kuku mwenye uzito mkubwa na utagaji pia nategemea utakuwa mzuri.
Kumbuka matetea wa kuchi hawatagi mayae mengi kama hao wengine, ndio maana tumekusisitiza kutafuta Mbegu bora na kwenda kununua kwa mfugaji ili uweze kupata kilicho bora na kikuletee faida, ufugaji ni mfumo na ukiukosea mfumo basi utauchukia ufugaji maana utaona umetupa pesa na muda wako.
 
Ningekushauri kitu ila ngoja waje sitaki kujifanya mjuaji sana, kuku tafuta mtu unaemuamini akuuzie usinunue nunue ovyo ovyo tu utalia na km ni makoo basi nunua wenye umri miezi 10,11,12 kwa mfugaji mzuri anawajua na hapo hela lazima ikutoke sio 10k hakuna kuku wa kienyeji mwenye miezi hio unaweza kumnunua kwa 10k andaa hamna hamna 23k hapo umemshawishi sana ndio unauziwa nazungumzia kienyeji pure kienyeji, at last nimebwatuka mnisamehe ndugu zangu
Mkuu shida umekalili sana Tz ni kubwa hii

Ni juzi tu nimetoka mahali koo anayetaga anauzwa 7000 jogoo kubwa kabisa 20,000/=

Ambapo hapa ninapoishi koo anauzwa 18,000-25,000. Jogoo hadi 50000!

Jaribu kutembea Tz ni kubwa sana hii kuna jamii bado inaamini kuku ni ufugaji wa watoto na wanawake wasio na uwezo!
 
Ndio nimekwambia tafuta mfugaji mzuri unajua kuna tofauti kati ya kuku wa kumla leo leo na kuku wa kufanya uzalishaji km uliesema wewe kwa ajili ya mayai, sasa Nikifa MkeWangu Asiolewe aje akusaidie maana mimi naona nimeishia hapo
Ulivyo mshauri hapo juu nikweli kabisa ni Vyema na haki akatafuta kuku wazuri wenye maumbo makubwa mazuri.

Ufugaji unahitaji muda na gharama sana ukiweka mkato kufeli ni hakika.

Mimi wiki mbili zilizo pita nilikuwa katavi ajabu nilichojionea kuna baadhi ya jamiizetu hasa wasukuma wanaamini kuku ni kwa ajiri ya watoto na wanawake tu.

Yaani mzee wa boma haamini kwenye kuku n hajui hata bei ya kuku wanawake ndo huuza kwa bei yoyote ili mradi tu ameuza.

Nimekuwa nikilietewa kuku kwa miji kama 2 ili ni wanunue na kwakweli sikuwa na lengo la kununua maana nilienda kwa issue nyingine na hata hela isingetosha.

Hakuna koo lililouzwa zaidi ya 10k! Tena ni kuku wazuri sana mbegu ndefu na nene almost mitetea iliyofika kutaga ilianzia 7000-10,000/= tu

Sasa mkuu fanya hivi. Tembelea wafugaji wa kuku husika unazopenda ufuge(kienyeji) mwelezee nia yako (mayai)

Kisha acha aamue bei yeye ukiridhia nunua japo bei haiwezi kuwa kama ulivyosema hapo japokuwa unaweza kubahatisha kupata wazuri.

Mimi nilipokuwa karibia wasukuma wote wana mbegu kubwa kubwa na yanataga sana nadhani kwa sababu ya chakula (protein nyingi) maana wanakula sana wadudu wa mazizini.

Nilikuwa nikiona mbegu ya ajabu ajabu(ndogo) wanaema huyu kuku wa wabende ila wanataga sana hadi mayai 27! Ndivyo wenyeji walivyosema.

Finally jipe muda wa kutosha ili upate mbegu nzuri. Kilala kheri mkuu ukifanikiwa tupe mrejesho vijana wenzetu wajifunze pia.
 
Ni juzi tu nimetoka mahali koo anayetaga anauzwa 7000
Toa location huko ulipokuta hao wasiouguamagionjwa yoyote ya kuku kwa bei hio, sikia mimi pia nimefanya hio biashara sema hapa nikisema nitakua naharibia watu ila ipo hivi kijijini ndani ndani hua wanauza hao kuku wapo ila changamoto yake hao kuku sio kwa ajili ya kufuga ni kwa ajili ya chakula migahawani

Tulikua tunaenda kuzoa kuku wengi tu kwa ajili ya kupika kwenye mgahawa ila ni kwa ajili ya kuwala leo leo yaan ukienda kuchukua usikae nao zaidi ya siku 5 mpaka 7 la sivyo wanakufa wote, kwa hio tulikua tunaenda kuzoa watu wanapikiwa mgahawani na wanakula bila kujua wanauziwa kitoweo cha aina gani, na nilipokua kulikua na dili kubwa la kuku sababu huko watu wanapenda sana nyama hususani kuku kwa hio tulikua tunaenda kuwazoa kijijini ndani ndani huko na pikipiki uliza bei 4500 tu haijarishi unachukua jogoo au tetea ila sio wakubwa sana ni wale waliotimiza kuanzia miezi 6 sema kiafya wanaonekana zoofu ndio tunawabeba kwenda kuwapika mgahawani

Kwa hio usifikiri sijui hizo harakati haya sema wewe hao wa 7000 umewatoa kijiji gani huko ulipo?
 
Ulivyo mshauri hapo juu nikweli kabisa ni Vyema na haki akatafuta kuku wazuri wenye maumbo makubwa mazuri.

Ufugaji unahitaji muda na gharama sana ukiweka mkato kufeli ni hakika.

Mimi wiki mbili zilizo pita nilikuwa katavi ajabu nilichojionea kuna baadhi ya jamiizetu hasa wasukuma wanaamini kuku ni kwa ajiri ya watoto na wanawake tu.

Yaani mzee wa boma haamini kwenye kuku n hajui hata bei ya kuku wanawake ndo huuza kwa bei yoyote ili mradi tu ameuza.

Nimekuwa nikilietewa kuku kwa miji kama 2 ili ni wanunue na kwakweli sikuwa na lengo la kununua maana nilienda kwa issue nyingine na hata hela isingetosha.

Hakuna koo lililouzwa zaidi ya 10k! Tena ni kuku wazuri sana mbegu ndefu na nene almost mitetea iliyofika kutaga ilianzia 7000-10,000/= tu

Sasa mkuu fanya hivi. Tembelea wafugaji wa kuku husika unazopenda ufuge(kienyeji) mwelezee nia yako (mayai)

Kisha acha aamue bei yeye ukiridhia nunua japo bei haiwezi kuwa kama ulivyosema hapo japokuwa unaweza kubahatisha kupata wazuri.

Mimi nilipokuwa karibia wasukuma wote wana mbegu kubwa kubwa na yanataga sana nadhani kwa sababu ya chakula (protein nyingi) maana wanakula sana wadudu wa mazizini.

Nilikuwa nikiona mbegu ya ajabu ajabu(ndogo) wanaema huyu kuku wa wabende ila wanataga sana hadi mayai 27! Ndivyo wenyeji walivyosema.

Finally jipe muda wa kutosha ili upate mbegu nzuri. Kilala kheri mkuu ukifanikiwa tupe mrejesho vijana wenzetu wajifunze pia.
Hapa upo sahihi mkuu umesema kweli kabisa
 
Back
Top Bottom