Kuku wa nyama tani 2.5 zinahitajika

Kuku wa nyama tani 2.5 zinahitajika

Mtimbo

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
1,392
Reaction score
797
Habari wadau,

Nahitaji kuku wa nyama tani 2.5. Hata kama una kuku ambao bado hawajawa processed ila wanaweza kutoa tani hizo tajwa hapo Juu Basii njoo tuifanye biashara

Serious seller Dm me your contact tuifanye biashara.

Ahsante.
 
Kwa wastani wa kilo moja kwa kuku maana yake unahitaji kuku 2500?
 
Mkuu nipe namba ya simu nikucheki tufanye kazi. Nitumie DM
 
Kuna jamaa yangu ana kuku 12,000 Sasa hivi bandana nipe number zako dm
 
Back
Top Bottom