Kuku wa nyama (broilers) pasua kichwa

Kuku wa nyama (broilers) pasua kichwa

Sina ushahidi inasemekana tu, huoni wenzio ndo maana hawaachi kufuga na wala hawalalamiki!
No that is inacceptable! Hatuwezi kuwatuhumu tu kwa vile hawaachi kufuga! Loh! Ndiyo maana niliomba mtoa posti angalau kwa uchache anipe breakdown ya investment yake alipopata hasara na alivyojipanga sasa.
 
Salami wana JF.
Naleta mada hii ya uzoefu wangu katika kufuga kuku wa nyama (broilers).
Nimekuwa mfugaji kwa miezi sita sasa. Awali nilipewa matumaini sana kuwa wana biashara nzuri kama ambavyo wengi wanavyoaminishwa humu.
Lakini ufugaji huu una changamoto nyingi kiasi ambacho faida yake hutaiona.
Tatizo kubwa ni gharama ya Chakula. Ni kweli hawa kuku wanachukua hadi week 5 hadi uwauze, lakini chakula chake ni bei ghali, inabidi ujipanhe sana maana kukibwenyewe wakisha fikisha week ya tatu wanakula kama wamechanganyikiwa.
Kuna brand nyingi za vyakula na bei inatofautiana na ubora. Inaanzia kati ya Sh52,000 hadi Sh71,000 kwa kilo 50.
Inategemea unafuga kuku wangapi ndio ujue watatumia kiasi gani.
Hao kuku wanakula usiku na mchana, hawana mapumziko, sasa ole wako uwafanyie ubahili. Utashangaa zimefika week 5 hawauziki. Hasara.
Au wakati mwingine ukiwabadilishia chakula walichozoea wanadumaa.
Inabidi uwe na mtaji wa kutosha kuwalisha kikamilifu kwa mwezi mzima. Kama una hela ya mawazo usifanye hii biashara.
Ahsanteni
Biashara ni kupambana na changamoto tatizo lako uliingia kwenye hii biashara huna utaji na usimamizi,usikate tamaa songa mbele
 
Biashara ni kupambana na changamoto tatizo lako uliingia kwenye hii biashara huna utaji na usimamizi,usikate tamaa songa mbele
Hivi naweza kupata watu wanaokopesha Vifaranga au chakula halafu tulipane wakati wa mauzo?
 
Hivi naweza kupata watu wanaokopesha Vifaranga au chakula halafu tulipane wakati wa mauzo?
Thubutuuuuuu.
Nani akupe.hapo kuna kupata na kukosa.
Nakumbuka baba aliwafuga akakosea wakaanza kuumwa ugonjwa wa macho.walianza kufaaaa.utatamani ulie,nje tumefukia kuku kibao.mbwa walifaidi kipindi kile.
 
Mambo vp kaka unaweza ukaja inbox ili tufanye kazi ukawa unakuja nyumbani unawafundisha vijana wangu au unaweza kuwa na vijana wasio na kazi wazoefu nipatie
Kuku wa broiler hata ununue chakula cha bei juu kama hawajafa sanaa lazmaa upate faida ninaozoefu wa kufuga broiler 1000(sio wangu ni mtaalum na mwangaliz) huyu bosi huwa anapata faida sio chin ya 1milion kwa Kuku hao 1000 afuu mm ananipa laki 2 kwa mwez .kiufup inalipa sanaa sahv nahasira nijikusanye nipate mtaji niachane naye nifuge wangu sabb nishaona fursa ilaa mtaji tyuu unasumbua ndo maana nimekubal kuwa mtumwaa
 
Salami wana JF.
Naleta mada hii ya uzoefu wangu katika kufuga kuku wa nyama (broilers).
Nimekuwa mfugaji kwa miezi sita sasa. Awali nilipewa matumaini sana kuwa wana biashara nzuri kama ambavyo wengi wanavyoaminishwa humu.
Lakini ufugaji huu una changamoto nyingi kiasi ambacho faida yake hutaiona.
Tatizo kubwa ni gharama ya Chakula. Ni kweli hawa kuku wanachukua hadi week 5 hadi uwauze, lakini chakula chake ni bei ghali, inabidi ujipanhe sana maana kukibwenyewe wakisha fikisha week ya tatu wanakula kama wamechanganyikiwa.
Kuna brand nyingi za vyakula na bei inatofautiana na ubora. Inaanzia kati ya Sh52,000 hadi Sh71,000 kwa kilo 50.
Inategemea unafuga kuku wangapi ndio ujue watatumia kiasi gani.
Hao kuku wanakula usiku na mchana, hawana mapumziko, sasa ole wako uwafanyie ubahili. Utashangaa zimefika week 5 hawauziki. Hasara.
Au wakati mwingine ukiwabadilishia chakula walichozoea wanadumaa.
Inabidi uwe na mtaji wa kutosha kuwalisha kikamilifu kwa mwezi mzima. Kama una hela ya mawazo usifanye hii biashara.
Ahsanteni
Mkuu kama uko dar naomba unikodishe hayo mabanda.....
 
kuna jamaa kaamua kuachana nao na kuanza kufuga mbuzi.....ha ha ha

Changamoto kubwa kwenye sekta ya mifugo huwa ni feeding.
 
Sijui kama nimekuelewa vizuri, lakini nilianza kwa kifuga Kuku 300 Sh1,200@ nikatumia mifuko 13 ya Chakula @ Sh65,000. Nikauza Sh5,300 @ kuku baada ya mwezi.
Niliongeza 400 kwa miezi kadhaa, 500, 600 na sasa namalizia kuku 700.
wish ninge kuwa na uwezo wa kukutembelea
 
Back
Top Bottom