Kuku wa mapambo wanauzwa

Kuku wa mapambo wanauzwa

Wapo wenye rangi kama ya Punda milia. Nataka awe anafanana na kaukuta cha bustani yangu.

Kama wapo wa hivyo tuma picha, lengo awe anakaa kwenye maua siku nzima.
 
Yaani kuku waache Banda kusubiri kuchinjwa waanze kukaa sebleni na kudhurula kwenye magari, huu utani sasa
 
Back
Top Bottom