kuku wa kienyeji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuku wa kienyeji

Discussion in 'Matangazo madogo' started by dalu, Dec 15, 2011.

 1. d

  dalu Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau wapi naweza pata kuku wa kienyeji kwa dsm?naomba kuwakilisha
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Yaani post ya pili tayari unataka kuku wa kienyeji? Kazi kweli kweli...
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ha haaa haaa

  kweli hii ni festive season, umenichekesha sana mkuu
   
 4. d

  dalu Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndo muda muafaka huu mkuu
   
 5. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Una maana 'kuku kuku' au kuku kitoweo?
   
 6. m

  marty JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 783
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nicheki 0713388226
   
 7. S

  Shadya Member

  #7
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  We nenda soko la ilala, kuna kuku na kila kitu na bei ni poa kuliko masoko yote haa dar. Bei ni sh. 7000 tu. Nenda kajione na utakuwa unafanya shopping yako hapo hapo.
   
 8. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #8
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Karibu, unataka wa kufuga au wa kula? Nina majogoo ya kienyeji yapatayo 30 hivi nayatoa Krismas hii yote...ni makubwa yana miezi kama 8 hivi. Kama uko serious tu Piga 0762413132
   
 9. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  kweli mkuu,mana kiswahili cha cku hzi? Inawezekana hakumaanisha kuku wa kitoweo,ahaha
   
Loading...