Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,070 Jul 11, 2014 #1 Yaweza Kuwait swali rahisi sana lakini ukashindwa kujibu Kuwa kati ya kuku na yai ni kipi kilianza ?
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Jul 11, 2014 #2 kilianza chakula chao.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,070 Jul 11, 2014 Thread starter #3 Kongosho said: kilianza chakula chao. Click to expand... Hahahahaaaaa loh...!!!
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,761 Jul 11, 2014 #4 Kongosho said: kilianza chakula chao. Click to expand... yai linakula pumba na lenyewe
TUPAC WA MWAKALELI JF-Expert Member Joined May 23, 2014 Posts 354 Reaction score 109 Jul 11, 2014 #5 Mungu hakuumba mayai
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Jul 11, 2014 #6 mtoto akiwa timboni hali? miss neddy said: yai linakula pumba na lenyewe Click to expand...
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,761 Jul 11, 2014 #7 Kongosho said: mtoto akiwa timboni hali? Click to expand... so hapo nani alianza kula pumba kati ya mama na mwana
Kongosho said: mtoto akiwa timboni hali? Click to expand... so hapo nani alianza kula pumba kati ya mama na mwana
Murano JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 2,056 Reaction score 1,129 Jul 11, 2014 #8 kama lingeumbwa yai lingehitaji kutamiwa hadi litotoe..but lord akaliona hilo then akaamua kuumba kuku kwanza ili atage,atamie then atotoe.. ushapata jibu..
kama lingeumbwa yai lingehitaji kutamiwa hadi litotoe..but lord akaliona hilo then akaamua kuumba kuku kwanza ili atage,atamie then atotoe.. ushapata jibu..
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,070 Jul 11, 2014 Thread starter #9 kasaloo said: kama lingeumbwa yai lingehitaji kutamiwa hadi litotoe..but lord akaliona hilo then akaamua kuumba kuku kwanza ili atage,atamie then atotoe.. ushapata jibu.. Click to expand... Kasaloo umenena vema
kasaloo said: kama lingeumbwa yai lingehitaji kutamiwa hadi litotoe..but lord akaliona hilo then akaamua kuumba kuku kwanza ili atage,atamie then atotoe.. ushapata jibu.. Click to expand... Kasaloo umenena vema