KUKU kudonoa MAYAI yake mwenyewe.Je alaumiwe?

KUKU kudonoa MAYAI yake mwenyewe.Je alaumiwe?

Binafsi hakuna ambacho nimeshindwa kukielewa kuanzia heading hadi content. ..
Concern yangu kubwa ni namna tu ulivyoiwakilisha...it's not debatable.

Ok,hapo ndo nimekuelewa,nilitaka kuiweka vile bila kuweka hiyo supporting story,ama ningeweka story kama ilivyokuwa,mana pia mdada alikuwa anajiuliza je amwambie ukweli mama yake ama la?Amwambie dingi yake ama la,je atamwelewa?Amwambie mpenzi wake kuwa ana mimba yake ama la,je ikiwa angepima DNA angejielezaje?NIMEKUELEWA.
 
Back
Top Bottom