ufalmedigital
Member
- Apr 24, 2025
- 29
- 37
Upo sahihi sema bei ya ng'ombe inatofautiana mkoa mmoja na mwingine inategemeana wa laki saba yeye anasema wapi na wewe wa 3m anapatikana wapi bei ya ng'ombe haieleweki..Huyo anayeojiwa mwehu
Ngombe wa 700000. Atakuwa ngombe mwenye Afya, ngombe aliyesh8ba ni 3,000,000 - 3,500,000 nk
Ila ambao sio wafugaji huwa wanashangaa bei ya vitu
Brahma Og bongo wapo kweli ?Upo sahihi sema bei ya ng'ombe inatofautiana mkoa mmoja na mwingine inategemeana wa laki saba yeye anasema wapi na wewe wa 3m anapatikana wapi bei ya ng'ombe haieleweki..
Huyu yupo vizuri..Brahma Og bongo wapo kweli ?View attachment 3438658