KUROILER :
Asili ya kuku hawa wa kuroiler wametokea nchini _INDIA_
Hawa ni kuku wa kibiashara yaani ni kama broiler wa kienyeji. Wana kuwa kwa haraka sana miezi *3--4* anakuwa yupo tayari kuingia sokoni kama akipewa matunzo mazuri. Wana taga vizur
Kuku hawa kwa mwaka unaweza vuna Mara Tatu kwa makadrio ya miezi 4.
"Kwa mfano mwezi wa 1 ukiingiza Vifaranga bandani hadi mwezi 4 utawauza, mwezi wa 5 ukiingiza Vifaranga bandani hadi mwezi wa 8 utawauza , mwezi wa 9 ukiingiza Vifaranga bandani hadi mwezi wa 12 utawauza."
Kwahiyo ni mizunguuko 3 kwa mwaka mmoja.
kila Batch ukiuza kuku 1,000 kwa mwaka utakua umeuza kuku 3,000
Huku kuku wa kienyeji pure mizunguuko 1-2 kwa mwaka.
*Sifa Za Kuku Aina Ya Kuroiler*
•Wanakua haraka.
•Wanakadiriwa kuwa na uzito kati ya kilo 3 mpaka 3 na nusu wakiwa na umri wa miezi 4
•Wanavumilia magonjwa.
•Wanafugika aina zote za ufugaji ndani, nusu huria na huria kabisa.
*Muhimu* kuroiler wanafanua vizuri zaidi katika upande uzalishaji mayai na kwa ukuaji wa haraka...
Tanga Poultry Farm