Kwanini kwenye jamii yetu watu hua wanapenda kuungwa mkono/kusifiwa hata pale wanachosema/fanya sio sahihi?
Nauliza kwasababu nimeona sana huku mitaani pia hapa JF. Yani mtu ukimkosoa anadhani/fikiri unamchukia, kwasababu tu hukubaliani na kile anachosema/amini. Je wewe mtu akikukosoa unachukia? Unadhani huyo mtu hakupendi?
Nasikitika kweli kuwa na watu wa aina hii kwenye jamii yetu maana kwa kutokua open minded and open to criticism wanapunguza wigo wa kujifunza. Mtu anapokukosoa/pinga unachojaribu kumweleza sio kwamba hakupendi bali anakupa wewe nafasi ya
kumcomvince/mweleza kwa undani kwanini unaamini
hicho unachosema hivyo chukua hiyo nafasi ya
kupanua uelewa wa huyo mtu mwingine from your point of view badala ya kununa.
Hehehehe Boss kumbe huasahau ehhh.kukosolewa ni jambo zuri
but wapo watu kwenye jamii yetu
huwa hawakusifii wala kukupongeza kwa lolote lile
lakini kwa kukosoa hao.hawajambo
watu wa aina hii mimi huwakwepa tu kwa kweli.......ndio downer wenyewe lol
Hehehehe Boss kumbe huasahau ehhh.
Nwy nakubaliana na wewe ila sasa inakuaje pale mtu anapochukulia kwamba kila anaemkosoa ni downer hata kama sio?
Alafu unajua kuna watu ni asili yao kutokusifia kwa kukweleza ehhh.Wapo ambao wanaona/jua kabisa umejitahidi kwenye jambo fulani ila hawawezi kukwambia kwasababu hawajazoea, na sio kwamba hawataki.
nafahamu wapo watu wa hivyo
hawajui ku react na success ya mtu
unakuta wako kimya tu na mafanikio yako as if hawapendi kumbe wala
hawana wivu wala nini but hawajui kuonesha hisia kwa jambo zuri
mimi huwakwepa pia lol
Hahahahha, eti hao huwakwepa pia.
Inaonekana unajali sana reaction ya watu wengine linapokuja swala la mafanikio yako ehhh.Kama wewe mwenyewe unajua umepiga hatua na mwenzako hajakosoa wala kusifia kwanini ikusumbue?
unataka mme wa show off much know,sawa lakini nakushauri utafute mme anekidhi haja zako nyingi za msingi zaidi ya hilo la kukosolewa,ni mara ngapi utakaa nae kwenye vilinge?,Mungu akusaidie upate mme mwema.Hivi ushawah kuwa kwenye mahusiano halaf siku moja mmekaa hata sehemu ukatokea ubishani akakosoloewa kuwa hajuii au hana hoja,,au kwenye group karusha picha halaf akakosolewaa ,ukiona mpenzi wako kakosolewa unajisikiaje??vibaya au kawaida tu
Kwa upande wangu nikimpenda haswa mwanaume wangu sipendi akosolewe kabisa yaan ntajisikia vibayaaa au nikiona mtu anamshusha hadhi hivi sipendii,,,napenda kuona yupo sawa kwa kila kitu nimkosoe mim hapa sio hapa hivi,sipendi mtu wa nje amkosoe ,,napenda mwanaume ambae ni msomi na muelewa wa vitu vingi ili tusijekaa sehemu tukaaibika jamanii[emoji23][emoji23]
Kuna mengine unakuta hata hayajui vitu lakin linakosoa tu yanaudh kweliii
Jamani tuombeane kheri maisha mafupi sana
Hivi ushawah kuwa kwenye mahusiano halaf siku moja mmekaa hata sehemu ukatokea ubishani akakosoloewa kuwa hajuii au hana hoja,,au kwenye group karusha picha halaf akakosolewaa ,ukiona mpenzi wako kakosolewa unajisikiaje??vibaya au kawaida tu
Kwa upande wangu nikimpenda haswa mwanaume wangu sipendi akosolewe kabisa yaan ntajisikia vibayaaa au nikiona mtu anamshusha hadhi hivi sipendii,,,napenda kuona yupo sawa kwa kila kitu nimkosoe mim hapa sio hapa hivi,sipendi mtu wa nje amkosoe ,,napenda mwanaume ambae ni msomi na muelewa wa vitu vingi ili tusijekaa sehemu tukaaibika jamanii[emoji23][emoji23]
Kuna mengine unakuta hata hayajui vitu lakin linakosoa tu yanaudh kweliii
Jamani tuombeane kheri maisha mafupi sana
Kwanini kwenye jamii yetu watu hua wanapenda kuungwa mkono/kusifiwa hata pale wanachosema/fanya sio sahihi?
Nauliza kwasababu nimeona sana huku mitaani pia hapa JF. Yani mtu ukimkosoa anadhani/fikiri unamchukia, kwasababu tu hukubaliani na kile anachosema/amini. Je wewe mtu akikukosoa unachukia? Unadhani huyo mtu hakupendi?
Nasikitika kweli kuwa na watu wa aina hii kwenye jamii yetu maana kwa kutokua open minded and open to criticism wanapunguza wigo wa kujifunza. Mtu anapokukosoa/pinga unachojaribu kumweleza sio kwamba hakupendi bali anakupa wewe nafasi ya
kumcomvince/mweleza kwa undani kwanini unaamini
hicho unachosema hivyo chukua hiyo nafasi ya
kupanua uelewa wa huyo mtu mwingine from your point of view badala ya kununa.
Anakosea lakin sio kama ambae hajuiiihii post imekaa kiComedy aisee
Ila kwani mwanaume wako akiwa msomi ndio hakosei!?
Asanteeee nitampata na anakaribia kupatikanaunataka mme wa show off much know,sawa lakini nakushauri utafute mme anekidhi haja zako nyingi za msingi zaidi ya hilo la kukosolewa,ni mara ngapi utakaa nae kwenye vilinge?,Mungu akusaidie upate mme mwema.
Dina ai lavu yu [emoji8] [emoji8] [emoji8]Hivi ushawah kuwa kwenye mahusiano halaf siku moja mmekaa hata sehemu ukatokea ubishani akakosoloewa kuwa hajuii au hana hoja,,au kwenye group karusha picha halaf akakosolewaa ,ukiona mpenzi wako kakosolewa unajisikiaje??vibaya au kawaida tu
Kwa upande wangu nikimpenda haswa mwanaume wangu sipendi akosolewe kabisa yaan ntajisikia vibayaaa au nikiona mtu anamshusha hadhi hivi sipendii,,,napenda kuona yupo sawa kwa kila kitu nimkosoe mim hapa sio hapa hivi,sipendi mtu wa nje amkosoe ,,napenda mwanaume ambae ni msomi na muelewa wa vitu vingi ili tusijekaa sehemu tukaaibika jamanii[emoji23][emoji23]
Kuna mengine unakuta hata hayajui vitu lakin linakosoa tu yanaudh kweliii
Jamani tuombeane kheri maisha mafupi sana
Halaf wewe
Halaf wewe
Umesomaa na umetembea sehem nyingii?Dina ai lavu yu [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Hehehehehe ntaida mod akupe ban,sina boya bana we subiri siku ntamtangaza rasmi hapaa mambo yakishakamilika na hutaaminiiSasa wewe una boyfriend boya, aongee pumba tumwache!
Tunamchana tu.
bado nasomaUmesomaa na umetembea sehem nyingii?
Hehehehehe ntaida mod akupe ban,sina boya bana we subiri siku ntamtangaza rasmi hapaa mambo yakishakamilika na hutaaminii