President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,095
- 93,513
80% ya wenyevit wa CCM ni waislam
Kwani kutoa maoni yako unatakiwa yasifanane na mtu mwingine kama unaona yapo sawa? Kama wangetoa maoni yanayo fanana na ya serikali ungesema wamekurupuka? Tumia Akili yako vizuri kufikiri.Pamoja na Yote haya ila Maaskofu wamekurupuka kwa Tamko linalofanana na matamko ya vyama vya siasa na hilo ndilo tatizo kubwa. Wangejitofautisha na Chadema wangefanikiwa zaidi.