Kukosekana kwa majanga kama mafuriko,tetemeko,njaa kumechangia anguko la ghafla la Chadema

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Kwa haraka haraka Chadema aka ukuta, walitegemea zaidi uwepo wa majanga ili kupata kiki kama tujuavyo ni wengi wao ni mabingwa kwenye misiba na sintofahamu.

Tunaomba Mwenyezi Mungu atuepushe na majanga katika nchi yetu. Kutokuwepo kwa majanga kwa hakika ndilo kaburi la Chadema.

Ukiwa makini hili utaliona bila ubishi,karibuni kwa hoja na si viroja.
 
Kama wapiga rambi rambi wanavyopiga miayo kwa misiba mikubwa kuadimika siyo?!
 
naona thread zenu zinaendelea kushabiiana na utafiti wa TWAWEZA kadri siku ziendavyo
 
Yaani mmezuia mikutano ya kisiasa na maandamano ila bado chadema inawasumbua kila,sehemu chadema inawasumbua
 
Na lile Coaster lililouwa watoto kule Karatu? Mbunge Lema na Meya hadi leo wanalalamika kwa nini hawakutajwa na mkuu wa mkoa. Kuna ibada ilipangwa ifanyike KKKT Olasiti hivi ilifika wapi?
 
Kuna uzi mwingine hadi unajiuliza,hauna kichwa wala miguu.
 
Thread zenu za siku hizi zinaonyesha mlivyo na akili see through kama vyandarua.
 
wasomi walizoea maisha ya mteremko ,rushwa na uzembe makazini haya yote kwa serikali hii hayapo tena ndio maana wasomi hawapendi CCM ya sasa.
 
Pole sana, nadhani umekaukiwa mawazo mapya. Kuruhusu akili kupumzika ni dawa njema itakayokusaidia kujitafskari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…