Hawa wamekosa malezi sahihi tu, wala tusisingizie jua kama mbaazi. Hawa ni kamata tandika chapa viboko wasirudie shenzi!! wanaeneza maradhi kiujinga!! hawawezi kwenda kwao kujisaidia au kuomba msaada jirani washushe mizigo yao????
Pambafuu sikubaliani na hii tabia asilani!!!
They have no sense of self respect, unadhani wangemjibuje? Labda wampige kabisa. Sometimes all you can do is to raise awareness and let more capable people take actions. Alikua anatafuta ushahidi tu (si unaona picha imepigwa kwa mbali).
sasa mjini vyo vya kulipia kama huna miambili ufanyeje na umeshikwa na haja? vyoo vya umma vya bure mijini ni muhimu sana kuliko kulaumu watu wanaolazimishwa na mazingira kuonekena wendawazimu.
sasa mjini vyo vya kulipia kama huna miambili ufanyeje na umeshikwa na haja? vyoo vya umma vya bure mijini ni muhimu sana kuliko kulaumu watu wanaolazimishwa na mazingira kuonekena wendawazimu.