Wakuu heshima yenu kwanza .......
Mm napenda kujua nn chanzo cha kukosa usingizi ukiachilia mbali ntu kuwa na stress/mawazo mengi
Je madhara yake ni yap? Na tiba yake nn?
Maana hta mmi ni muhangwa wa hili msaada wenu tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.