Kukosa usingizi wakati wa ujauzito | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukosa usingizi wakati wa ujauzito

Discussion in 'JF Doctor' started by Esperance, Apr 23, 2011.

 1. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salaam wana JF, mi ni mama nna ujauzito wa mwezi mmoja na nusu, tatizo sipati usingiz kabisa nakesha hadi asubuhi, pia sipendi kunywa maji natapika sana. Naombeni ushauri wapendwa.
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Pole bibie kwa Ukosefu wa Usingizi jaribu Dawa yangu hii ( Chemsha Glasi Moja Maziwa ya Ng'ombe Fresh kisha Uchanganye na Kijiko kikubwa cha kulia chakula Asali Safi mbichi ya nyuki uwe unakunywa kila usiku wakati unapotaka kulala basi kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu utapata usingizi mnono nakutakia mafanikio mema
   
 3. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante mzizi mkavu, ntazingatia.
   
 4. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hiyo hali ya kutapika sana itapotea baada ya miezi 3 au mi 4, hivyo vumilia tu. Kuhusu kukosa usingizi subiri wataalam waje..
   
 5. kure11

  kure11 Senior Member

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole,tusubiri watalam
   
 6. BLISS

  BLISS Member

  #6
  Apr 25, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana
  mimi pia niliwai kupata matatizo yanayokukuta wewe, na nilikuwa mjamzito pia, but sikutumia kitu hiyo hali itajakuisha yenyewe baada ya muda mfupi..lakini pia unaweza kutumia hayo maziwa uliyoshauriwa.. na pia ule mabiringanya kwa wingi unaweza weka kwenye mboga, au kwa kitu chochote unachokipenda kula,kazana tu kunywa maji kwa wingi kwasababu unatapika, then jitahidi kufanya kazi ambayo itakufanya uchoke kiasi ili upate usingizi usiku.

  pia nakushauri ujiunge baby center ni WEB ambayo inanisaidia sana, mimi nina wiki 14 tuko safari moja,
  ubarikiwe.
   
 7. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Bliss amekupa ushauri mzuri sana...kuna mambo unaweza fanya kiimani/kisaikolojia yakakusaidia na wala hayana madhara yoyote kiafya kwako au kwamtoto uliyembeba.

  Wakati wa uja uzito (especially uja uzito mdogo) kuan mabadiliko makubwa ya mfumo mzima wa hormones mwilini mwa mwanamke, hayo yanaweza kukuletea dalili mbali mbali ambazo si lazima zimtokee kila mja mzito (mfano hili la usingizi). Hiyo hali itaisha tu yenyewe, kama ilivyo hali ya kutapika. Dawa ulizoshauriwa na mti mkavu hazina madhara yeyote kwa afya yako wala ya mtoto, kuna faidi ukizizingatia hata kama hazitatibu tatizo la usingizi.
   
 8. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanx BLISS nishajiunga baby center napata updates. Tuzidi kuombeana mpendwa, ubarikiwe nawe pia.
   
Loading...