Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,400
Salaam wakuu Naimani humu kuna watu wenye uwezo na fikra pana
Nimeona nilete hoja yangu kwenu mm nina 21 yrs sasa Elimu yangu kidato channe
Lakini Nina shauku au nina ndoto zakuja kuwa kiongozi katika jimbo langu
Kwa sababu na penda siasa napia Naona ninamna gani. Watu wajimbo langu wanateseka Nakuto ifaidi keki ya jimbo Lao /au kutopata maendeleo Na mahitaji yamsingi katika jimbo Lao
Kutokana na baadhi ya viongozi kujali maslahi yao binafsi Imekuwa ikiniuma sanaa Nakulipigia kelele kila siku Hivyo
Nimeamua kujikita katika siasa ili niweze kuja kuwa kiongozi katika jimbo langu niweze kuitumikia vyema
Lakini nimekuwa nikikatishwa tamaa na baadhi ya watu wakidai elimu yangu ndogo haiwezi niwezesha kua kiongozi
Jambo ambalo limekuwa likiniumiza sanaa kichwa
Nimeamua kuleta Uzi wangu huu kwenu kupata mawazo yenu je Nikweli elimu inaweza kuwasababu ya kuto Ongoza au kuwa kiongozi
Nivyema kunishauri kuliko kukejeli Naomba kuwakilisha