kukosa chuo!!!!!!!

dascha

New Member
Sep 23, 2012
1
0
kwa kweli no jamani. . .nimeapply round ya kwanza pamoja na kuwa naqualify for kozi kama nne ckupata yeyote....
nomeaaply sercond round lakini mpaka leo kimya...empty. . .eti IN PRORESS . . .asa ninafanyeje tena na vyuo vimestart kuOpen???!!!:frusty:
 
ulifata process vizuri namna ya ku-apply?? nimeuliza kwa sababu nimeona mpangilio wako wa lugha ulivyo mbovu! BTW fatilia TCU na ikiwezekana jaribu kwenda direct kwenye baadhi ya vyuo kuomba.
 
angalia kwenye maneno mekundu utagundua sababu ya kukosa chuo
aim:jaribu kuomba moja kwa moja vyuoni au wasiliana na tcu uso kwa uso
 
nenda TCU mjomba, me nlikua huko last week, watu wenye tatizo kama lako wapo wa kutosha tu, kule!
 
ulifata process vizuri namna ya ku-apply?? nimeuliza kwa sababu nimeona mpangilio wako wa lugha ulivyo mbovu! BTW fatilia TCU na ikiwezekana jaribu kwenda direct kwenye baadhi ya vyuo kuomba.

hahahahahah!!yan jf n furuuu raha
 
Back
Top Bottom