Kukosa choo kwa mtoto mdogo

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,351
Mtoto mchanga under 2yrs anaweza kaa siku ngap bila kujisaidia haja kubwa bila mzaz kuingia wasiwasi?
 
Kama ankula ipasavyo hapaswi kupitisha siku,na ni vizuri aende mara mbili hadi tatu kwa siku.Ila ngoja wajuzi zaidi waje.Cc dr Mzizi Mkavu
 
SI MTOTO MCHANGA TU HATA MTU MZIMA KILASIKU LAZIMA UENDE HAJA MTOTO ANASHIDA WAHI HOSPITO PLEEZ HAAWA WA CHINI YA MIAKA 5 SI WA KUWAPUUZIA KWA JAMBO LOLOTE LIWALO
 
Back
Top Bottom