Sawa mkuu asante kwa ushauri lakini sioni kama inaweza kuwa sababu ni mshaharakama una week mbili kwenye ajira subiri mwisho wa mwezi ufike upewe mshahara yoooote yataisha na utaishi maisha yenye stress mpya za kimshahara mshahara
Daaah nikupepole na ww mungu nimwema atatupigania my sister[emoji26]pole sana
una mfadhaiko!
Hata mimi ninao pia ila ni wa wasiwasi & woga tangu mwezi wa 10mwaka jana
lazima ukose amani...
unaweza kutamani kufa.
cha msingi ni kujua nini kinasababisha halafu utapata solution
Ohh!! Vipi hauna girlfriend ambaye angalau mnabadilishana mawazo...?Mwanaume mkuu
Ungekuwa naye atleast....I have no girlfriend mkuu
Kapime hormone zako, maana hormonal imbalance inasababisha wasiwasi na woga[emoji26]pole sana
una mfadhaiko!
Hata mimi ninao pia ila ni wa wasiwasi & woga tangu mwezi wa 10mwaka jana
lazima ukose amani...
unaweza kutamani kufa.
cha msingi ni kujua nini kinasababisha halafu utapata solution
Hormone gani sasa..?Kapime hormone zake.Utakuwa na hormonal imbalance
wapi wanapima na Tsh ngapiKapime hormone zako, maana hormonal imbalance inasababisha wasiwasi na woga
Pesa sabuni ya rohoSawa mkuu asante kwa ushauri lakini sioni kama inaweza kuwa sababu ni mshahara