itakuwa byport na abc bancUngetusaidia ni Bank [emoji542] gani mkuu, ili tujue pa kuanzia kwanza
Noted [emoji404]Mimi ni third party kwa hiyo kusema ni ipi nitakuwa nimekiuka. Japo wengi mtashngaa lakini ni kweli tupu.
Eh eh ile Ela ya kuendesha Mkopo sio riba!?!!Kijana Benki za kiislam ndio solution kwa dunia ya sasa Islamic Banking system, hakuna riba za kitwahut
Mkuu acha kuudanganya umma mimi leseni ya biashara nilipata ndani ya siku moja tu muhimu ni kuhakikisha unafahamu taratibu za biashara husika unayotaka kuanzishaHii thredi ingekua ni ya mabo ya kijinga ya kule mmu au chit and chat, ingekuwa pg ya 40 ivi sasa.
Anyway, tz ni ngumu sana kufanikiwa bila magumashi.
SA kupata leseni ya biashara ni hardly 30 min, ila tz ni zaidi ya miezi 4.
Hebu achag mambo ya kitoto na wewe........wewe unawafixha kwasababu gani?! Wao si wamekiuka utaratibu......kwa misingi hiyo hiyo na wewe ukiuke utaratibu maana hata sioni haja ya kuwaficha mapakashume hao......hebu wataje hapa halafu tuone watakufanya nini?!Mimi ni third party kwa hiyo kusema ni ipi nitakuwa nimekiuka. Japo wengi mtashngaa lakini ni kweli tupu.
Una uhakika aliyekupatia hiyo leseni hakuwa ndigu au jamaa yako.....?! Maana usitake kutetea mambo ambayo wengine tumeshayashuhudiaMkuu acha kuudanganya umma mimi leseni ya biashara nilipata ndani ya siku moja tu muhimu ni kuhakikisha unafahamu taratibu za biashara husika unayotaka kuanzisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nampa pole sana mdau aliyepata hayo masaibu maana hata mkopo utaulipaje sasa wakati biashara haijasimama. Kwa mawazo yangu ni kwamba unapokopa kuanzishaia biashara hakikisha tayari una asilimia fulani ya pesa ambayo umeipata kwa savings zako. Mkopo wa asilimia mia wa wewe bila kuchangia chochote huwa unaleta shida baadaye......
Baadhi ya sehemu hapa tz kupata tin # ni matatizo.Mkuu acha kuudanganya umma mimi leseni ya biashara nilipata ndani ya siku moja tu muhimu ni kuhakikisha unafahamu taratibu za biashara husika unayotaka kuanzisha
Sent using Jamii Forums mobile app