Kukoje Libya Leo ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukoje Libya Leo ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GeniusBrain, Feb 24, 2011.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Uhasama dhidi ya raia wa kigeni waibuka nchini Libya, kuna ripoti za wahamiaji wa kiafrika kushambuliwa

  Source : BBC swahili 24.02.2011
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Tanzania inafanya juhudi gani kurudisha raia wake? Nafahamu kuna vijana walienda kusomeshwa ugaidi kule
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wataka kusema wote waliosoma na wanaosoma Libya ni magaidi ? hebu weka sawa hapo mkuu
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Wanaosomea ugaidi! Mbona huelewi vitu vidogo tu?
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kweli tuna kazi, nawe ni Great Thinkers kweli ? wewe ni Great Tankers jitoe humu jamvini si sehemu stahiki kwako
   
Loading...