Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Hello wana JF.
Naombeni anayejua namna ya kupata shamba la kukodisha West Kilimanjaro nahitaji Ekari mbili, moja ya maharagwe na moja ya mahindi. Asante sana.