mwakajila
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 188
- 29
hapana naomba unijuze Edsonhivi unajua kwa nini hawa mawaziri wapya wanafumua bodoza wakurugenzi na kusimamisha wa ma CEO kwa kasi namna hii......
hapana naomba unijuze Edsonhivi unajua kwa nini hawa mawaziri wapya wanafumua bodoza wakurugenzi na kusimamisha wa ma CEO kwa kasi namna hii......
Huyu mzee wa Ukurutu nimekuwa simwamini tokea aseme kwenye ile ripoti yake ya Richimond kuna mambo ambayo ameficha ili serikali isianguke inamaana alitusaliti sisi wananchi. halafu turudi kwenye mada yeye ni mtaalamu wa mikataba ya kukodisha ndege?
..
Naomba nikusahihishe kidogo kwanza kabisa mwakyembe hakuenda redioni kama unavyosema pale ni JKIA terminal 2 na alikuwa akiongea na wafanyakazi wa ATCL hapo uwanjani..ulichosikia ni recorded sound ya tukio zima...
La pili Mwakyembe kamuondoa Chizi si kutokana na kashfa hizo tajwa hapo juu..kashfa hizi ni zile za waliotangulia Chizi kaondolewa kwa sababu uteuzi wake unakinzana na sheria yaani kwa ufupi Uteuzi wako haupo kisheria..
nakuona kama huna nidhamu na hukufunzwa maadili kwenu. Unajuaje kama hutoweza kupata ugonjwa kama huo ilihali hujamfa? Tumia bongo japo ya kimtaani taani kama hujafunzwa kwenu. Kumbuka humu wanajoin watu wenye bongo zao na si wahuni. Mwacheni Mwakyembe awasaidie kuokoa shirika.
Jamani.... ya Airbus... si basi sasa ... si tuendelee mbele... au ndio hivyo tuchukue hizo ndio deliverables zako Dr. Mwakyembe... kiongozi mzuri ni yule ana-kubali hali halisi aliyoikuta na kuanza na strategy zake....
| | |
|
mwakyembe anachapa kazi lakini ushauri wake kwa chizi juu ya kupokea malipo ya insurance nje ya account za atcl,hauku-sound ki- professional
Katika eneo ambalo ninamuunga mkono Rais msaafu wa mwaka 2015 nipale alipomteuwa Dr Harrison Mwakyembe kuwa waziri wa uchukuzi. Ninaamini atatusaidia sana. Kaza uzi.Mh.Mwakyembe wewe piga kazi kwa nguvu zote,iga mfano wa mh.magufuli,maadam dhamira yako ni njema hata wapinge namna gani wewe utang'aa tuu! Maombi ya watanzania yanatafuta mtu kama wewe...Mungu anatafuta mtu atakayesimama sehemu iliyobomoka.... hao wanaokupinga ni mafisadi ama wanafaidika na mafisadi.
endelea mbele mkuu.
hapana naomba unijuze Edson
Moja ya sababu ni kutekeleza maagizo ya Kikwete wakati wa kuwateua mawaziri wapya, alisema sasa wanakwenda kuwashughulikia watendaji wa mashirika wanaosababisha mawaziri wa Kikwete kulalamikiwa na kisha kuondolewa.
Kwa hiyo ni mkakati maalum sio wa kumaliza ufisadi Tanzania bali kulipiza kisasi. CCM na mkulu wake hawana nia ya dhati ya kuung'oa wizi na ubadhirifu kwa sababu ndio unaowastawisha.
Huyu mzee wa Ukurutu nimekuwa simwamini tokea aseme kwenye ile ripoti yake ya Richimond kuna mambo ambayo ameficha ili serikali isianguke inamaana alitusaliti sisi wananchi. halafu turudi kwenye mada yeye ni mtaalamu wa mikataba ya kukodisha ndege?
Yeye ni mwanasheria......na Mtanzania pia....halafu ndugu lower the tone please!
kuondolewa kwa chizi ni kutokana na mikataba mibovu, ajira yake haikufata taratibu au kushindwa kusimamia shirika?
Hivi mnamwamini mwakyembe??