Ndugu WanaJF nina nipo kwenye uhusiano na Mpenzi wangu kwa muda wa miaka 2 sasa, nampenda naye ananipenda lakini kwenye mwezi wa nane (8) mwaka nikasex na mtu mwingine mara moja TU. kumbe katika kipindi chote hicho huyo mpenzi wangu alikuwa akichunguza mienendo na mawasiliano kati yangu na huyo mdada . Jana kaja anadai eti kuna mdada anaamini kabisa ya kwamba nimetembea naye na jina lake akalitaja kwani lilikuwa kwenye simu akiniomba nikubali kosa kisha niombe msamaha kwake ili tuanze UPYA vilevile tuendelee na mipango yetu ya NDOA hapo mwezi wa saba(7) mwakani
Ndugu zangu, Je ni HAKI kwangu kukiri kosa na kuomba msamaha vilevile haitosababisha mapenzi yetu kufa.
Kataa mpaka unaingia KABURINI KATAAAAAAA!Ndugu WanaJF nina nipo kwenye uhusiano na Mpenzi wangu kwa muda wa miaka 2 sasa, nampenda naye ananipenda lakini kwenye mwezi wa nane (8) mwaka nikasex na mtu mwingine mara moja TU. kumbe katika kipindi chote hicho huyo mpenzi wangu alikuwa akichunguza mienendo na mawasiliano kati yangu na huyo mdada . Jana kaja anadai eti kuna mdada anaamini kabisa ya kwamba nimetembea naye na jina lake akalitaja kwani lilikuwa kwenye simu akiniomba nikubali kosa kisha niombe msamaha kwake ili tuanze UPYA vilevile tuendelee na mipango yetu ya NDOA hapo mwezi wa saba(7) mwakani
Ndugu zangu, Je ni HAKI kwangu kukiri kosa na kuomba msamaha vilevile haitosababisha mapenzi yetu kufa.
Kataa mpaka unaingia KABURINI KATAAAAAAA!
kiri kosa omba msamaha
atakusamehe kwa sababbu ashakwambia kiri ntakusamehe basi usiifanye ngumu shingo yako ...ukiwa mkaidi ikivunjika haitafaa tena
usirudie tena afta msamaha sawa?
KWANINI ULIENDA KUCHOVYA NJE?pls i wan knw pia mwelezee na yeye y ulitoka nje ili km kuna mapungufu bas muyasafishe kbsa b4 ndoa
KINYUME NA APO SUBIRI REVENGE EVEN AFTA 10 YRS WEWE UMESAHAU YEYE NDO ATAKULIPIZIA.
fanza km alivyokwambia.
napata wasi wasi anaweza pigwa kibuti ...
Nilimuona kaka mmoja alihisi wife wake anacheat ..na akaja-confirm ni kweli.
Kila siku akimuuliza wife anakataa kabisa na hakuwa na evidence zaidi ya kumfanya amhukumu moja kwa moja.
wakakaa mwaka wa kwanza wa pili wa tatu kila siku anambembeleza amwambie kama kweli ali-cheat
Siku moja kamwamsha usiku wa manane na kumpa maneno matamu sana huku akimbembeleza amwambia kama ni kweli ali-cheat kwa jinsi mwanaume alivyokuwa anaongea kwa huruma na machozi na kumuhakikishia hata akimwambia ukweli ndoa yao iko pale pale .na nadhani huyo kaka aliamini mkewe akimwambia ukweli atakuwa mvumilivu wa kukabili jambo hilo
Maskini Bi dada akasema yes dear husband nilicheat bila kukusudia nisamehe mme wangu sitarudia
Kumbe husband anamrecord na kawa anarudia kila siku kusikiliza hiyo saut ya mkewe akisema yes dear husband nilicheat bila kukusudia nisamehe mme wangu huo ndo ulikuwa mwisho wa ndoa yao..
Deny deny deny deny! Kama hujakamatwa kwenye eneo la tukio, tafuta kisingizio cha kuonekana au kuwasiliana na huyo demu, singizia ulikuwa unafuatilia kazi au biashara or any other credible excuse.
Hata ukiomba msamaha, si kwamba atakusamehe. Atajifanya tu amekusamehe,na labda ata-ignore tu kwa muda. One thing you should know, is that women never forget such issues. Atakuja kukumbushia siku moja na inaweza ikawa chanzo cha ugomvi hata miaka kumi baadaye. Unachotakiwa kufanya ni kukataa, kataa, kataa, kataa, kwamba ulilamba huyo demu mwingine. Ila usirudie tena kucharge huko na huko kama charger ya kobe.
sio wanawake wote...mie nipo kama huyu mdada, yaani nikiwa na uhakika wa kitu then mtu anataka kuniona mjinga huwa kesi haiishi, kwangu nikiambiwa ukweli nakuwa na amani na ansamehe kabisa, wambie ukweli kitendo ulichomfanyia, tamaa zinawaponza.
napata wasi wasi anaweza pigwa kibuti ...
Nilimuona kaka mmoja alihisi wife wake anacheat ..na akaja-confirm ni kweli.
Kila siku akimuuliza wife anakataa kabisa na hakuwa na evidence zaidi ya kumfanya amhukumu moja kwa moja.
wakakaa mwaka wa kwanza wa pili wa tatu kila siku anambembeleza amwambie kama kweli ali-cheat
Siku moja kamwamsha usiku wa manane na kumpa maneno matamu sana huku akimbembeleza amwambia kama ni kweli ali-cheat kwa jinsi mwanaume alivyokuwa anaongea kwa huruma na machozi na kumuhakikishia hata akimwambia ukweli ndoa yao iko pale pale .na nadhani huyo kaka aliamini mkewe akimwambia ukweli atakuwa mvumilivu wa kukabili jambo hilo
Maskini Bi dada akasema yes dear husband nilicheat bila kukusudia nisamehe mme wangu sitarudia
Kumbe husband anamrecord na kawa anarudia kila siku kusikiliza hiyo saut ya mkewe akisema yes dear husband nilicheat bila kukusudia nisamehe mme wangu huo ndo ulikuwa mwisho wa ndoa yao..
Unapotea sana bana!nimekukosa muda