Ndugu WanaJF nina nipo kwenye uhusiano na Mpenzi wangu kwa muda wa miaka 2 sasa, nampenda naye ananipenda lakini kwenye mwezi wa nane (8) mwaka nikasex na mtu mwingine mara moja TU. kumbe katika kipindi chote hicho huyo mpenzi wangu alikuwa akichunguza mienendo na mawasiliano kati yangu na huyo mdada . Jana kaja anadai eti kuna mdada anaamini kabisa ya kwamba nimetembea naye na jina lake akalitaja kwani lilikuwa kwenye simu akiniomba nikubali kosa kisha niombe msamaha kwake ili tuanze UPYA vilevile tuendelee na mipango yetu ya NDOA hapo mwezi wa saba(7) mwakani
Ndugu zangu, Je ni HAKI kwangu kukiri kosa na kuomba msamaha vilevile haitosababisha mapenzi yetu kufa.
Ndugu zangu, Je ni HAKI kwangu kukiri kosa na kuomba msamaha vilevile haitosababisha mapenzi yetu kufa.