Nimewahi kuona matangazo ya nafasi za wakimbiza mwende wa uhuru kwenye halmashauri na mikoa, lakini sijawahi kuona wakitangaza nafasi hizo kitaifa. Hawa watu huwa wanapatikanaje?
Kitaifa anakuwa mmoja ambaye ni mwajiriwa wa vyombo vya ulinzi na usalama. Kisha anakuwa na wasaidizi wake around five up to six something hawa helpers si lazima wawe waajirijiwa ilimradi tu wawe na mafunzo yoyote ya ukakamavu.
Nationwide anateuliwa.
Afrika ukiona tangazo la kazi ujue either halina maslahi au wanatangaza kutimiza wajibu.
Kazi nyingi zinapita juu kwa juu.
Imagine madereva wa Katar tu walichomeka Vimeo ndugu zao wasiojua lory Lina gear ngapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.