Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,251
- 2,131
vipi kama utaamua kukimbia utachoma mafuta Kwa wingi sana mwiliniMi najitembelea tu,inapungua kilo moja katika wiki moja,sitaki kujitesa sana aisee
sema kituAhhh
Ongeza matatizo utakonda tuHabari za muda wana jf.
Kwa wale wapenzi wa workouts, jogging, lifting weights, HIIT cardio na abs hapa ni jukwaa letu sahihi la kujadiri ana na kubadilishana mawazo.
Kwenye platform mbalimbali za mitandao ya kijamii kumekuwa na mabishano makubwa sana miongoni mwa trainers! Na mabishano hayo ni healthy kwasababu yana lengo la kuleta matokeo Kwa wahitaji.
Kati ya kukimbia na kutembea lipi ni zoezi zuri na sahihi zaidi Kwa mtu anayetaka kupungua (weight lose).
Hapa Kuna wajuzi/trainers/gurus wa mazoezi ebu tupeni miongozo.
Nikikimbia nabanwa mbavuvipi kama utaamua kukimbia utachoma mafuta Kwa wingi sana mwilini
Anza kidogo kidogo pia kuupa mwili nafasi ya kupumzika usikimbie kila siku tenga siku maalumu ndani ya week,baada ya muda utazoea hali na kuanza kuongeza umbali.Nikikimbia nabanwa mbavu
Ongeza matatizo utakonda tu
Kukimbia kwako ni better zaidiNikikimbia nabanwa mbavu
Kukimbia ni better ila Je unaweza ku burn mafuta Kwa kukimbia zaidi ya kutembeaKukimbia ndiyo safi ila uwe na pumzi
Kuna nadharia ya kuwa wakati unakimbia mwili unatumia sugar kama chanzo cha Nishati badala ya mafuta lakini ukiwa unatembea kile kiasi cha oksijen kinaenda kuchoma mafuta Moja Kwa mojaYani utembee na unahitaji kupungua? Kama umri unaruhusu kimbia. Kama umri umeenda tembea.
Kaka/dada,Kuna nadharia ya kuwa wakati unakimbia mwili unatumia sugar kama chanzo cha Nishati badala ya mafuta lakini ukiwa unatembea kile kiasi cha oksijen kinaenda kuchoma mafuta Moja Kwa moja
Kwani mkuu hicho unachoita sukari kuwa chanzo cha nishati huyu mkimbiaji atakuwa ndiyo mwisho wake kula milo yenye sukari kwamba kesho atakosa chanzo kingine cha nishati?Kuna nadharia ya kuwa wakati unakimbia mwili unatumia sugar kama chanzo cha Nishati badala ya mafuta lakini ukiwa unatembea kile kiasi cha oksijen kinaenda kuchoma mafuta Moja Kwa moja