Kukimbia kwa Putin, Siri imefichuka

Kukimbia kwa Putin, Siri imefichuka

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,504
Reaction score
8,253
Imefahamiki viongozi wa mataifa ya G-20 hawajakasirika kwa kitendo cha rais wa Russia bwana Vladimir Putin kuvunja protocal kwa kuondoka kabla ya muda unaotakiwa katika mkutano wa viongozi hao uliomalizika huko australia, bali viongozi hao wanamlaumu waziri mkuu wa Australia bwana Tony Abbott kwa kusababisha hali hiyo.

Ikumbukwe hapo mapema kabisa bwana Abbott aliweka wazi kabisa kwamba akikutana na putin kwenye 18 zake lazima ampe kipondo, tangu Tonny atoe kauli hiyo mara ya kwanza wamekutana china lakini hakutekereza kauli yake, nadhani ilikuwa nje ya 18, na mara ya pili ndo wamekuta huko Australia ndani ya 18 zake ndipo ndipo alipotaka kutekeleza kusudio lake lakini jitahada kubwa za kumshawishi aachane na hilo suala zilifanyika zikiongozwa na Obama na rais Xi zilifanikiwa kiasi ingawa kwa muda tu ambapo PM Tonny aliamua kumuacha Rais Putin afanye kwa shughuli zake zilizopeleka huko ambao ni mkutano wa G-20 baada ya hapo kichapo kipo palepale.

Pamoja na jitihada za Putin mwenyewe na kumtegemea Rais wa China kusawazisha mambo lakini Rais wa China hakuonekana kujali sana sababu wachina pia walikuwemo kwenye ndege aliyoidungia putin huku PM Tonny akiendelea kusisitiza kipondo kiko palepale.

Hapo ndipo Rais Putin alipoamua kuchoropoka kabla ya muda ili kuepuka kisago.

Sasa kila kiongozi anamlaumu Tonny kwa kukosa busara katika kuamua mambo.
 
Anaweza kumpiga Putin ao ndio yale yale ya maisha bora kwa kila mtanzania slogan?
 
Imefahamiki viongozi wa mataifa ya G-20 hawajakasirika kwa kitendo cha rais wa russia bwana vladimir putin kuvunja protocal kwa kuondoka kabla ya muda unaotakiwa katika mkutano wa viongozi hao uliomalizika huko australia, bali viongozi hao wanamlaumu waziri mkuu wa Australia bwana Tony Abbott kwa kusababisha hali hiyo. Ikumbukwe hapo mapema kabisa bwana Abbott aliweka wazi kabisa kwamba akikutana na putin kwenye 18 zake lazima ampe kipondo, tangu Tonny atoe kauli hiyo mara ya kwanza wamekutana china lakini hakutekereza kauli yake, nadhani ilikuwa nje ya 18, na mara ya pili ndo wamekuta huko Australia ndani ya 18 zake ndipo ndipo alipotaka kutekeleza kusudio lake lakin jitahada kubwa za kumshawishi aachane na hilo suala zilifanyika zikiongozwa na obama na rais xi zilifanikiwa kiasi ingawa kwa muda tu ambapo PM Tonny aliamua kumuacha rais putin afanye kwa shughuli zake zilizopeleka huko ambao ni mkutano wa G-20 baada ya hapo kichapo kipo palepale. Pamoja na jitihada za putin mwenyewe na kumtegemea rais wa china kusawazisha mambo lakini rais wa china hakuonekana kujali sana sababu wachina pia walikuwemo kwenye ndege aliyoidungia putin huku PM Tonny akiendelea kusisitiza kipondo kiko palepale. Hapo ndipo rais putin alipoamua kuchoropoka kabla ya muda ili kuepuka kisago. Sasa kila kiongozi anamlaumu Tonny kwa kukosa busara katika kuamua mambo.
angejaribu kumgusa ndio angepata habari yake..chezea putin!
 
Nani wa kumzengua puttin ?
Kama kuna Rais anayejiona mbavu basi athubutu walau hata kumnusa tu mkuuPutin aone cha mtema kuni kilicho mtoa kanga manyoya.
Namkubali sana huyu rais Putin . Huyu ndio rais mwanaume.
 
Attachments

  • putin1.jpeg
    putin1.jpeg
    19.9 KB · Views: 1,086
  • putin2.jpg
    putin2.jpg
    6.7 KB · Views: 1,052
  • putin3.jpg
    putin3.jpg
    8.9 KB · Views: 1,009
  • putin4.png
    putin4.png
    99 KB · Views: 1,001
  • putin5.jpg
    putin5.jpg
    218.7 KB · Views: 1,010
  • putin 6.jpg
    putin 6.jpg
    12.9 KB · Views: 1,035
  • putin7.jpg
    putin7.jpg
    6.6 KB · Views: 976
  • putin8.jpg
    putin8.jpg
    8.8 KB · Views: 966
  • Putin-trening.jpg
    Putin-trening.jpg
    41.9 KB · Views: 999
Nani wa kumzengua puttin ?
Kama kuna Rais anayejiona mbavu basi athubutu walau hata kumnusa tu mkuuPutin aone cha mtema kuni kilicho mtoa kanga manyoya.
Namkubali sana huyu rais Putin . Huyu ndio rais mwanaume.

Hizo ni picha tu wewe hata wewe unaweza kuvaa hizo nguo ukapiga, suala ni putin kakimbia kipigo cha Tonny
 
Hicho kipondo ni cha kutumia silaa au kavu kavu...
Nadhanu hakuna rais duniani anayeweza kuzichapa kavu kavu na Putin...mzee wa judo

Abbott anapiga box hatari sana, na putin analijua hilo ndo maana alikimbia
 
Per the western media, Putin was snubbed by most (if not all) of the G 20 leaders.

Something which perhaps explains his early exit.
 
Wangepigana tu tena wangepelekwa Las Vegas
 
Imefahamiki viongozi wa mataifa ya G-20 hawajakasirika kwa kitendo cha rais wa Russia bwana Vladimir Putin kuvunja protocal kwa kuondoka kabla ya muda unaotakiwa katika mkutano wa viongozi hao uliomalizika huko australia, bali viongozi hao wanamlaumu waziri mkuu wa Australia bwana Tony Abbott kwa kusababisha hali hiyo.

Ikumbukwe hapo mapema kabisa bwana Abbott aliweka wazi kabisa kwamba akikutana na putin kwenye 18 zake lazima ampe kipondo, tangu Tonny atoe kauli hiyo mara ya kwanza wamekutana china lakini hakutekereza kauli yake, nadhani ilikuwa nje ya 18, na mara ya pili ndo wamekuta huko Australia ndani ya 18 zake ndipo ndipo alipotaka kutekeleza kusudio lake lakini jitahada kubwa za kumshawishi aachane na hilo suala zilifanyika zikiongozwa na Obama na rais Xi zilifanikiwa kiasi ingawa kwa muda tu ambapo PM Tonny aliamua kumuacha Rais Putin afanye kwa shughuli zake zilizopeleka huko ambao ni mkutano wa G-20 baada ya hapo kichapo kipo palepale.

Pamoja na jitihada za Putin mwenyewe na kumtegemea Rais wa China kusawazisha mambo lakini Rais wa China hakuonekana kujali sana sababu wachina pia walikuwemo kwenye ndege aliyoidungia putin huku PM Tonny akiendelea kusisitiza kipondo kiko palepale.

Hapo ndipo Rais Putin alipoamua kuchoropoka kabla ya muda ili kuepuka kisago.

Sasa kila kiongozi anamlaumu Tonny kwa kukosa busara katika kuamua mambo.

Masikini sexer, baada ya kusoma mada yako nimegundua hujui hata chembe ya international politics wala international protocols. Ebu soma hapa uelimike:

A tired Vladimir Putin has left Brisbane's G20 praising the summit's 'constructive atmosphere' and saying the reported fallout between him and leaders of Western countries were exaggerated by the media. Putin was the first world leader to leave Australia, his jet taking off shortly after 2pm local time. The Russian president told reporters from his own country he was the first to go because he had to get back to Moscow to work, and he needed 'four or five hours sleep'.

Putin said his early departure from the Brisbane summit was unrelated to perceived tensions with other leaders. He said he spoke personally to the Australian prime minister, Tony Abbott, and explained he had to undertake an 18-hour flight to get home before going back to work on Monday. 'We have to fly from here to Vladivostok nine hours, and then from Vladivostok to Moscow, another nine hours', Putin told reporters. 'I came to Tony and told him about it, he understood this. There are no other considerations.'

Source: Vladimir Putin first to leave G20 summit, pleading lack of sleep | World news | The Guardian
 
Hadithi... Hadithi.
Hadithi njoo utamu kolea.
 
Habari nyingine bwana, vumbi tupu!! Abott hana uwezo wa kumjabili Putin. Atanyofolewa koromeo.

Bangi mbaya sana ... Pitin ana rank ya juu duniani katika michezo yote ya matial arts... hebu soma profile ya Putin kwanza.. yule jamaa achaneni nae... dunia inatakiwa iwe na akina Putin wengi ili kuvunja ''nguvu ya kishetani ya marekani na washirika wake''
 
Kama JF ingekuwa na MODS hii habari ingefutwa haraka. Kwanza, unaandikaje habari serious kihuni namna hii. Kipondo ndiyo nini? Yaani angempiga, angemkashifu au angemlaumu? Kbua unazungumzia international politics.
Upuuzi mtupu.
 
Hizo ni picha tu wewe hata wewe unaweza kuvaa hizo nguo ukapiga, suala ni putin kakimbia kipigo cha Tonny

Mbona mkulu wa Kaya hatujawahi sikia hata akivaa zile za wagambo tu naye akapiga picha?
Fatilia CV ya huyu jamaa vizuri ndipo utapojua kuwa huyu mkuu ni next level
huyu jamaa wa austarlia angethubutu kujichanganya ange enguliwa mano yake mpaka meno ya sebureni.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom